Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,991
- 134,156
Japo mimi sio muislam,lakini natambua vyema kuwa kwa wenzetu kitimoto ni haramu.Sasa leo nimekutana na Hassan Mansoor anasema dhambi ya kula kitimoto ni kama dhambi zingine ya kuzini,kutukana nk.Kwa hiyo akipata fursa anakamua.Daah nimesikitikana sana