Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Kusema ukweli mh.wetu safari zimezidi mno hadi inakera.
Nafikiri tupate Rais Mzee mwenye busara ambaye si mtokaji kihivyo.
Mh.Mwai Kibaki wa Kenya alitoka mara chache sana,lakini aliweza kukuza uchumi wa Kenya.
Tanzania ya sasa haihitaji kutoka kwa kwa Rais, bali anayeweza kucheza na resources zilizopo na kuzimanipulate ziweze kuwaletea Watanzania tija.2015 tusifanye makosa
 
what did they say?
1.one of the richest country in the world in terms of resources yet leads the world in begging...FACT
2.foreign companies know this is shamba la bibi....FACT
3.his ministers requested bribe from BAE,all the evidence available for anyone yet no one was prosecuted...FACT
4.ruling elite get richer and richer coz of corruption...FACT
5.larger part of the country have has no electricity yet we have many rivers and dams...FACT
6.in tanzania today,they have started leadership inheritance.....FACT

I wish you were MOzil but for this I'll be your brother, brother.
Now let the blinded, deaf "nationalists" defend this!
 
kama sheria ikitaka tuwanyonge tutawanyonga ili wasitokee wapuuzi wengine kama hawa.

Ikiwezekana ifanyike hadharani, iwe fundisho.. Huwa najiuliza wakiziona comment zetu kama hizi huwa wanatufikiriaje au ndyo yale ya kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
 
what did they say?
1.one of the richest country in the world in terms of resources yet leads the world in begging...FACT
2.foreign companies know this is shamba la bibi....FACT
3.his ministers requested bribe from BAE,all the evidence available for anyone yet no one was prosecuted...FACT
4.ruling elite get richer and richer coz of corruption...FACT
5.larger part of the country have has no electricity yet we have many rivers and dams...FACT
6.in tanzania today,they have started leadership inheritance.....FACT

Hivi tunategemea kitu gani kipya kutoka kwa mtu aliyekwapua pesa benki kuu ili kufund campaign zake za kuingia ikulu. Huyu hana moral authority ya kuwakemea wala rushwa na wabadhirifu wa mali ya umma kwani anaogopa wanaweza kumuumbua. Ukweli Tanzania tuna bahati mbaya kuwa na Rais kama huyu.

Tiba
 
Fact ipi hiyo?

Mheshimiwa labda nna uelewa mdogo juu ya neno "U
zalendo" kwa ninavyo fahamu uzalendo ni hali ya kuwa na mapenzi na nchi yako kuitumikia kwa hali mali ili kuipatia maendeleo

Sasa kama ukikosa mapenzi na nchi yako na uko radhi kuinyonya na kuifuja kwa faida zako binafsi na watu wa nje ya nchi yako utakuwa msaliti.

yaliyosema na hao wazungu ni FACT....sasa mimi sipingani na FACTS kisa mzalendo.....kama kukubaliana na FACT ni usaliti na kukosa uzalendo,basi mimi ni msaliti namba moja na si mzalendo....
 
Niliwahi kumwambia mwandishi mmoja wa Dar kuwa,africa ina laana,akakataa,udhaifu wa kikwete kushindwa kuongoza nchi ni moja ya sababu za laana ya africa kutimia,nchi gani ktk africa ambayo ina uchumi mzuri angalau tu kuifananisha na spain? au Turkey? africa yenye raslimali nyingi kuliko mabara yote duniani ndo pia maskini kuliko bara lolote duniani,hapo ukitafakari unaona nini? kwa nini nchi kama Finland isiyo na raslimali yoyote isaidie mataifa kibao africa? Zamani nikiwa na miaka 18 hadi 22,nilikuwa na ndoto za kuishi ulaya au marekani,leo hii ktk umri wa miaka 30,sitamani kwenda popote,moyo wa uzalendo umenikaa,ni nani atasimama kunipinga kuwa africa haina laana? kwa nini mataifa 54 yote ya africa yawe choka mbaya? south africa ilikuwa nzuri kiuchumi wakati wa utawala wa makaburu,leo hii choka mbaya,black skin,black brain,black future,MUNGU TUSAMEHE DHAMBI YOYOTE MBAYA TULIYOKUTENDA SISI WAAFRIKA.Central africa,mali,Rwanda,congo,Angola,misri,Libya,Liberia,Sierra Leone,sudan,are these blessed? Let me know.
 
wazungu ni wehu wao wanavyokuja wakabeba madini yetu na kutuachia mashimo walitegemea mafanikio na maendeleo tutayatoa wapi?
 
ukiiishi nao utawajua zaidi
wanatuona sisi waaafrika ni wajinga ndio maana tunachagua viongozi wabovu
Tena nchi yetu wanaisema ni humble country ukija na dola moja utaondoka na dola Billion moja
tena wanasema ukimpa sifa ya uongo kidogo Mtanzania utampata kwa mengi

hujaona vingozi wetu wakisifiwa na kupewa shahada fulani fulani hivi
ni njia mojawapo ya kuwarubuni ili wawe wepesi kuruhusu makampuni yao yaje kuwekeza
wanajua wakija kuwekeza nchi zao zitapata malighafi wanazotaka na pia wananchi wao watapata ajira wakija afrika

Hawa watu ukishawastudy hutatamani hata kuwaona wakija kuwekeza..
tumewakabodhi na mbuga zetu watulindie wanyama huku wakifaidika na picha wanazochukua na kuziuaza kwa tv channels kama aninal planet na NatGeo nk...kwanini tuwaache wao waje kuwastudy na kuelezea historia za wanyama na maisha ya hao wanyama wakati ni wetu? hatujui lugha? hatuna wataalamu wa wanyama? Sua wanafanya nini?
watazidi kutudharau sana hadi mwisho

Kwa mnaokumbuka madhara ya kampuni kama Barrick kwa mazingira nk nani hadi leo kachukuliwa hatua?
kwa ujinga wetu hata madhara ya barick hayajaisha tumeruhusu uranium kuchimbwa
viongozi wapo na wataalamu wa mazingira wapo wanajua madhara yake lakini wameruhusu
Nazidi kusema bila kupata viongozi wazalendo na makini Tanzania after 20 years itakua sio Tanzania tena.
Jk must wake up and do something kabla nchi haijaangamia.

Daah ndo maana kile kibibi changu mzungu tulikutana facebook kila mwezi ananitumia 100 pounds na sijawahi kumuomba anajua pa kunikamatia one day maana kashaanza mambo yake ya kutaka kuja kuwekeza huku na ni mwananchi wa kawaida na mlevi tuu huko UK
 
Waafrika tuone hivi hivi, tunajuwa sana kuongea, kupanga na kupangua lakini hatujuwi kutekeleza. Leo mchukuwe Mtanzania yeyote umuulize kuhusu ligi ya mpira wa Uingereza, basi utamkuta anaijuwa hiyo ligi na namna timu inatakiwa iwe kuliko Mourinho. Hiyo si kwenye mpira tu, ni kila pahali, tunajuwa kila kitu kwa midomo yetu lakini kutenda? Ng'oo.

Nchi hii muumba dunia na ardhi alitujaaalia kila kitu chema, maji mengi, madini mengi, ardhi nzuri inayo-limika miezi 12 kwa mwaka, misitu mizuri, mbuga nzuri, milima mizuri, mabonde mazuri, watu wazuri, wanyama wazuri. Kwa ufupi katupa pepo ya duniani, lakini kitu kimoja hatukupewa, nacho ni akili. Akili hatuna.

Binaadam hakosi kasoro na kasoro yetu ni akili.
 
Niliwahi kumwambia
mwandishi mmoja wa Dar kuwa,africa ina laana,akakataa,udhaifu wa kikwete
kushindwa kuongoza nchi ni moja ya sababu za laana ya africa
kutimia,nchi gani ktk africa ambayo ina uchumi mzuri angalau tu
kuifananisha na spain? au Turkey? africa yenye raslimali nyingi kuliko
mabara yote duniani ndo pia maskini kuliko bara lolote duniani,hapo
ukitafakari unaona nini? kwa nini nchi kama Finland isiyo na raslimali
yoyote isaidie mataifa kibao africa? Zamani nikiwa na miaka 18 hadi
22,nilikuwa na ndoto za kuishi ulaya au marekani,leo hii ktk umri wa
miaka 30,sitamani kwenda popote,moyo wa uzalendo umenikaa,ni nani
atasimama kunipinga kuwa africa haina laana? kwa nini mataifa 54 yote ya
africa yawe choka mbaya? south africa ilikuwa nzuri kiuchumi wakati wa
utawala wa makaburu,leo hii choka mbaya,black skin,black brain,black
future,MUNGU TUSAMEHE DHAMBI YOYOTE MBAYA TULIYOKUTENDA SISI
WAAFRIKA.Central
africa,mali,Rwanda,congo,Angola,misri,Libya,Liberia,Sierra
Leone,sudan,are these blessed? Let me know.

sio waafrika tu nadhani blacks kwa ujumla angalia Haiti!
 
wazungu ni wehu wao
wanavyokuja wakabeba madini yetu na kutuachia mashimo walitegemea
mafanikio na maendeleo tutayatoa wapi?

we kama unaakili kwanini unawakaribisha wanakuja mpk wanabeba hayo madini kama unakili mbona usiwauzie hayo madini yako huko waliko tena kwa bei unayotaka wewe!
 
Mzungu ndio sababu ya matatizo tulionayo, hivyo hawezi kua mtu mwema kwetu. Bila shaka huo ni wivu tu wa jitihada zetu.

Sio kila unaeambiwa ni baba yako, basi ndie. Ilikupata uhakika kamuulize mama yako.

Asa mzungu akuonee wivu kwa jitihada gani hasa, kujinufaisha mwenyewe huku wananchi wanaumia au kusafili sana nje.....ndioooo nakubali lakini! Huenda kweli wakawa wanatuonea wivu hasa kwa jinsi tunavyoshindwa kuwawajibisha waliokosea kwa kuliibia taifa, kusafilisha madawa na wanyama, na hata tunavyojitahidi kung'ang'ania maovu! Hivi ni lini tutakubali kwamba tumekosea na tukubali kuanza upya!????
 
Wazungu wameongea ukweli mtupu. Watanzania bado tumelala usingizi. Tukiamka, wajanja wameshamaliza kila kitu. Wananchi waanze kuamshwa. Waelimishwe kuhusu kinachoendelea na kinachofanywa na serikali. Siyo rahisi, lakini inawezekana.
 
yaliyosema na hao wazungu ni FACT....sasa mimi sipingani na FACTS kisa mzalendo.....kama kukubaliana na FACT ni usaliti na kukosa uzalendo,basi mimi ni msaliti namba moja na si mzalendo....

Basi tuko ukurasa mmoja haina haja ya kupingana nilichokuwa na maanisha ni kuwa hao wanaoifanya nchi yetu kama shamba la bibi yao kwa kugawa mali zetu kuzifuja na kisha kusimama kwenye Tv na kwenye majukwaa ya kampeni na bila aibu wakisema enyi watanzania wenzangu.. Hawa jamaa hawajui nini maana ya uzalendo nahisi hata neno uzalendo hawajawah kulisikia wanasema tabia ya mtu inaanzia nyumban tukifuatilia waweza kuta wana laana kwa kudokoa dokoa pesa za nyumban kwao
 
Hivi tunategemea kitu gani kipya kutoka kwa mtu aliyekwapua pesa benki kuu ili kufund campaign zake za kuingia ikulu. Huyu hana moral authority ya kuwakemea wala rushwa na wabadhirifu wa mali ya umma kwani anaogopa wanaweza kumuumbua. Ukweli Tanzania tuna bahati mbaya kuwa na Rais kama huyu.

Tiba

Duu!!! Kumbe!! Jaman nini kifanyike kuokoa hii hali? Wajukuu zetu hawato walalamikia hao mafisadi, masaliti, watu wasio na kwao(yahaya) watumwa wa wazungu ila watatulalamikia siye kwanini tuliyajua haya na tukakaa kimya bila kufanya kitu
 
Hawa ndiyo wale wazungu wapumbavu.

Huyu alifanya kazi UNDP lakini anaonekana uelewa wake mambo ya development ni mmbovu. Ana tone ya wale wanaomchukia Kikwete na tz within this region na internationally.

Wapaswa kupuuzwa.

You an idiot!
Wenzetu wanakwenda na data!

Nenda pale Muhimbili ujionee mwenyewe!Hii ndio development watu kulala chini na shuka zenye matone ya damu

Huyu Rais wako ame prove failure.

1.Kutembea European capitals kila mara anaibisha mwafrika
2.Nchi iko gizani
3.Angalia level ya public debt
4.Hakuna rule of law sasa,hata ukibaka so long uko katika system it is ok
 
wazungu ni wehu wao wanavyokuja wakabeba madini yetu na kutuachia mashimo walitegemea mafanikio na maendeleo tutayatoa wapi?

Wehu sisi tunaowakaribisha kwa sherehe na kuwasindikiza hadi Airport kwa matarumbeta huku tumewabebea madini waende nayo vizuri
 
Back
Top Bottom