Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Ndugu Zyamwelele, mimi kwa kweli nimefurahia sana ulivyosema. Umeamua kuwa objective na hiyo pekee ndio itakayotuondoa hapa tulipo. Kwa ujumla nawashangaa hawa wanaosema tunasemwa vibaya. La hasha, hatujasemwa vibaya ila tumeambiwa ukweli. Tatizo ni kwamba ukweli waliosema ni madudu tunayoyafanya kwa kuwalinda viongozi waliojaa ubinafsi. Mimi nawashukuru hawa jamaa walioandika, angalau tumeoneshwa kwamba madudu yetu si siri tena. Sasa badala ya kulalamika, tuichukulie kama ni changamoto, tuanze kuwawajibisha viongozi wetu ili rasilimali za nchi ziwanufaishe wananchi kwa ujumla wao na si viongozi na familia zao pamoja na wawekezaji.

Utakuwa umetuelewa vibaya.. Si mfuatiliaji saana wa siasa ila siku za nyuma Raisi wetu aliitwa kama sikosei "mpuuzi" ikawa kelele ooh kakosewa heshima aombwe radhi na kadhalika

Lengo la kuweka hayo yasemwayo na wazungu juu yetu ni kuwafahamisha enyi watanzania wenzangu muone uongozi wetu ulivyo kuwa mbovu kiasi kwamba Raisi wetu ambaye ni muwakilishi wa taifa hili tajiri anasemwa kama mtu asiye na wadhifa wowote.. Kama ukirejea hizo kauli za huyo mwandishi amemuongelea kiongozi wetu kama ombaomba hana mbele wala nyuma

Swali ni nini tufanye watanzania kuiepuka hii hali?
Kabla ya kulalama kutwa kucha kuhusu kipi ambacho serikali haitufanyii basi nasi tujiulize kipi tumeifanyia nchi yetu?
 
what did they say?
1.one of the richest country in the world in terms of resources yet leads the world in begging...FACT
2.foreign companies know this is shamba la bibi....FACT
3.his ministers requested bribe from BAE,all the evidence available for anyone yet no one was prosecuted...FACT
4.ruling elite get richer and richer coz of corruption...FACT
5.larger part of the country have has no electricity yet we have many rivers and dams...FACT
6.in tanzania today,they have started leadership inheritance.....FACT
Thanks
 
Huyu msanii akija kutoka madarakani atakuwa
amevuna sana kwa posho za safari zake ...atakuwa tri-o-nea wa bongo.

Yawezekana Yupo kwenye research sa sijui data analysis by now or what.
 
what did they say?
1.one of the richest country in the world in terms of resources yet leads the world in begging...FACT
2.foreign companies know this is shamba la bibi....FACT
3.his ministers requested bribe from BAE,all the evidence available for anyone yet no one was prosecuted...FACT
4.ruling elite get richer and richer coz of corruption...FACT
5.larger part of the country have has no electricity yet we have many rivers and dams...FACT
6.in tanzania today,they have started leadership inheritance.....FACT

Well said
 
Mzungu ni nani?...simkubali Kikwete lakini this is a stupid thread!
Sorry!
 
Utakuwa umetuelewa vibaya.. Si mfuatiliaji saana wa siasa ila siku za nyuma Raisi wetu aliitwa kama sikosei "mpuuzi" ikawa kelele ooh kakosewa heshima aombwe radhi na kadhalika

Lengo la kuweka hayo yasemwayo na wazungu juu yetu ni kuwafahamisha enyi watanzania wenzangu muone uongozi wetu ulivyo kuwa mbovu kiasi kwamba Raisi wetu ambaye ni muwakilishi wa taifa hili tajiri anasemwa kama mtu asiye na wadhifa wowote.. Kama ukirejea hizo kauli za huyo mwandishi amemuongelea kiongozi wetu kama ombaomba hana mbele wala nyuma

Swali ni nini tufanye watanzania kuiepuka hii hali?
Kabla ya kulalama kutwa kucha kuhusu kipi ambacho serikali haitufanyii basi nasi tujiulize kipi tumeifanyia nchi yetu?

Mkuu Jonh Porter nina wasiwasi na jinsi ulivyotafsiri maandiko ya mkuu aitwae Albani!! Ebu yapitie vizuri nakuyaelewa maelezo yake.

Naona kama mna mitazamo sawa ila kama vile wewe haujamuelewa vile!!
 
Mkuu siyo wazungu tu, kuna mwanafunzi wa kichina tena wa chuo kikuu aliniuliza Waafrica tunawezaje kuishi na wanyama wakali kama simba mahali pamoja na hawatujeruhi/hawatuli?

Yaani media za kimagharibi zinatuchafua sana kwakweli japokuwa ni kweli sisi ni masikini wa kujitakia.

Mchina yuko right na swali lake: wewe hujawahi kwenda ngorongoro cretor na kuona wamasai wanaishi jirani na wanyama pori wengi wakiwemo simba? Ukienda Lindi (vijiji kama Likawage, Nainokwe...) jioni simba nje nje.
 
Wazungu ni akina nani? Ukute JK mwenyewe ni mzungu wa kiswahili.

inawezekana, rangi yake inautata, labda chotara. Au, mkuu unamaanisha maamuzi yake kwenye kutumia maliasili unapendelea ndugu zake wakizungu wanaodai wanamletea suti kama shukrani ya kutokulipa kodi japo wamechimba dhahabu kwa miaka tano.
 
Ukweli mtupu mliobenefit na utawala wake lazima mumtetee!!
 
Mzungu ndio sababu ya matatizo tulionayo, hivyo hawezi kua mtu mwema kwetu. Bila shaka huo ni wivu tu wa jitihada zetu.

Sio kila unaeambiwa ni baba yako, basi ndie. Ilikupata uhakika kamuulize mama yako.

Mkuu hapo kwenye red bold imenikumbusha zamani pale VETA Chang'ombe, enzi hizo chuo kikiitwa N.V.T.C (National Vocation Training Centre) waliweka bango kuubwa lenye maandishi ''FUNDI ASIYE NA UJUZI HULAUMU VYOMBO VYAKE''
 
Mchina yuko right na swali lake: wewe hujawahi kwenda ngorongoro cretor na kuona wamasai wanaishi jirani na wanyama pori wengi wakiwemo simba? Ukienda Lindi (vijiji kama Likawage, Nainokwe...) jioni simba nje nje.

Halafu kweli mkuu, kumbe mimi mwenyewe tu ndiyo nilimuelewa vibaya kwasababu ya inferiority complex yangu.
 
hapo ndipo haswa panapochefua hivi hao jamaa wanaelewa hata maana ya uzalendo? Hii ni aibu hata mtoto mdogo hawezi isaliti familia yake kwa familia nyingine ilhali ni familia yake ndyo imemlea, imemkuza na kumfanya ajulikane

uzalendo haubadili fact.......
 
Hata mim nazisubiri kwa hamu hizo siku 14 duuuu 😀🙁🙁😀🙁😀😀😀😀😀😀😀😀

watu wanaongelea udhaifu wa serikali kusimamia raslimali za nchi wewe unaongelea habari za chadema lol tumia ------ kwa kukalia sio kwa kukufikiri
 
uzalendo haubadili fact.......

Fact ipi hiyo?

Mheshimiwa labda nna uelewa mdogo juu ya neno "U
zalendo" kwa ninavyo fahamu uzalendo ni hali ya kuwa na mapenzi na nchi yako kuitumikia kwa hali mali ili kuipatia maendeleo

Sasa kama ukikosa mapenzi na nchi yako na uko radhi kuinyonya na kuifuja kwa faida zako binafsi na watu wa nje ya nchi yako utakuwa msaliti.
 
licha ya kusafiri nchi zote hizo cha kushangaza ameshindwa hata
kuhamasisha majiji kama dar arusha mbeya walau kuwe na local trains,barabara zijengwe nzuri na highways kupunguza foleni walau ingetosha
hela tunazo,tuna madini aina zote, tuna gas nyingi tu,nk

kwa KUTOKUJITAMBUA wetu tumeaachia wachume tena wagawane marekani na China...
JK akienda huko baada ya kazi zake hapati muda wa kujifunza
miundO mbinu ya wengine nae akahamisika kuijenga nchini?

Tumeshindwa kitatua tatizo la usafiri dar tukawa na tren mpya
za diesel za kazi tutawezaje kujenga reli mpya kwenda burundi na ruanda hadi DRC?
ndio inaweza kuwa njia nzuri ya kujiinua kiuchumi lakini kwanza muinue mwananchi wako
ndio uwazie kumuinua kimataifa.

serikali imeshindwa kuanzisha hata water tax kutoka tegeta hadi feri??
sasa kama tunashindwa kufanya hata vitu kama hivo hadi
tuwategemee wazungu waje wakusaidie kwanini wasikudharau?

Tena wazungu hao hao wanakupa misaada kisha wanajilipa wenyewe
anapokuja kuwasaidia na fedha hizo hazikatwi kodi kwanini wasikudharau?
wale wanaolipwa fedha za world bank watuambie zinakatwa kodi nchini?

mzungu huyo huyo anakuja na mikataba yake ameshaanda anakupa
masharti wakati wewe ndio una hizo maliasili anazozitaka lakini kwa
vile kasema mzungu unamkaribisha tena hata kodi unampa msamaha
Kwanini asikudharau wakati kwao hakuna cha msamaha wa kodi???

bado Taifa halijapata kiongozi makini atakaesimama kwa nguvu zote
kuwatetea wananchi bila kukubali kuendeshwa na mataifa tajiri..

We need someone who can stand for us and not against us for his own benefit.
TATIZO LETU WATANZANIA TUMEFUNDISHWA
WOGA NA KUKARIRI HATUJAFUNDISHWA KUJITAMBUA.

Huyu msanii akija kutoka madarakani atakuwa amevuna sana kwa posho za safari zake ...atakuwa tri-o-nea wa bongo.
 
Mda mwingine tuache kutetea uozo uliopo eti kwasababu ni watanzania!! Kilichoandikwa hapo juu ni ukweli mtupu' na kama wewe unaona tunapondwa kwasababu ya uafrica wetu basi kanusha kitu kilichoandikwa kwenye hayo maandiko ambacho chakusingiziwa au chakutengenezwa!!!

Na ukasuku wakusema nchi yangu hata kwenye ukweli ndo unaopelekea viongozi kujua sisi mambumbumbu au mazuzu na ndo maana wanatawala wanavyoweza na kudiriki kutoa kauli za kejeli na dharau kwa wananchi.

Penye ukweli tuwe wakweli na penye uongo tukanushe!!

Ugum wa maisha wa watanzania kwa asilimia 90 unasababishwa na utawala mbovu.
Ahsante Mkuu WELL SAID....Ukweli unaUMA sana !!
 
Huyu mZungu atakuwa alitendwa
Mkuu Mzungu kasema kweli tupu...... hali nchini mbaya sana FYI, watu wakula nusu mloo !! kabla ilikuwa mloo mmoja!! Ufisadi unashimiri..... Vibakuli vinajazwa na JAPAN na EU,UK,US,nk lakini vijijini maji masafi hawayajui !! Umeme tunalipa maradufu, Kodi zetu ni juu kuliko kiwango !! Wanasiasa wapo wengi kuliko watawaliwa!!
 
Back
Top Bottom