Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

kwani unategema wazungu waisifie nchi yako?
nipo huku miaka mingi kiasi hata chuoni wanafunzi wanatuuliza kama tuna barabara za lami na kama tuna nyumba za tofali
washazoea kuona habari za majanga afrika kama vita njaa na magonjwa
hawajawahi kuona picha za jiji letu na makazi yetu wala barabara zetu..

hata waandishi wenyewe wa Tanzania wanaoripotia vituo vya nje kama BBC hupiga picha zao mazingira mabovu kama kariakoo na uswazi,,kama wakumbuka Obama alivokuja uliona news walizoripoti BBC na eneo walilopiga picha?
hadi leo wapo wazungu wanaamini tunaishi katika miti,,na tunawajibu ndio tunaishi kwenye miti,,baba na mama kila mtu ana mti wake,wanashuka tu wakitaka kuzaa,,tunawajibu pia hata mabalozi wao wanaishi kwenye miti pia wanapokuja afrika....
kwa wenye akili hugoogle wenyewe......
Lingine maamuzi ya viongozi wetu ni ya kuchekesha pia wanawachia wazungu migodi,madini,kila kitu wachukue kwa kodi kidogo sana kwa kuhongowa suti na fedha kiasi wanazowekewa banks za nje...
sasa kwanini wasitudharau????? Kama wanakubali kuwauza wananchi wao kwa kuhongwa na kutubakiza maskini watakupenda kwa lipi???? ukiona wanakuja afrika wanakuja kuchuma hakuna cha bure kwa Mzungu
Mkuu SEMA KWELI walau kwa 0,0001% Maelezo aliyosema hapo juu ni yakutafakari na kujiuliza mara kwa mara.!! Tuwe na Moyo wa kukubali makosa yetu bila kuteteana kwa sababu mbalimbali.!! Kila la heri Mungu ibariki Tanzania na watu wake masikini.
 
Hizo comment ni za kuchakachua - siyo za hayo magazeti yanayo daiwa kuzitoa. Wazungu wana akili zao hawaandiki kipuuzi hivyo hata kama hawakubaliani na kitu.
 
Mungu awaandalie kifo chenye mateso wote walioifikisha tanzania hapa ilipo.
 
Mungu awaandalie kifo chenye mateso wote walioifikisha tanzania hapa ilipo.
 
WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/
VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari
iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian,
la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos
2012: All the developments from day two of the
summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic
African leaders of our times. He is a peacetime
leader for a country known to be one of the
richest in the world in terms of natural
resources, yet he leades the world with
begging. Foreign companies have known
Tanzania to be a free land in which you can go
in and take all you can without being asked a
question. I really don't get the mind set of its
leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a
Muzungu worshiper. Having worked with the
UNDP in that country for 8 years, I realized
how inneficient and corrupt the country's
leadership is. His ministers that requested
bribes from BAE have never been tried despite
the damning evidence against them. British
TAX payers must stop funding this man's
corruptin and foreign trips. His human rights
record is horrible. Mr. Kikwete had no
business of going to Davos to ask for foreign
aid. Already his country is the world third
leading foreign Aid dependant nation. He
should be embarassed to say to the world that
people are poor. His people living "hand to
mouth " is his own is own ignorance and
stupidity.That is hiw own problem, Brits are
having their own problems he must realize
that. We cant bankroll his foreign trips. He
should make good use of his country's wealth.
Instead of letting his corrupt officials and
foreigners loot his country, he needs to think
before letting himself be a global loughing
stock. I read in one of the regional (kenyan)
publication the mockery nature related to his
frequent foreign trips. Palestinian, Haiti,
Lebanon, Somalia and even Rwanda economies
are more robust that of Tanzania. We must
question the nations that welcomes this
"Joker's" request for AID. He needs to be on a
"no-fly" list so he can be serious. Hopefully the
billionaires questions what he has done with
the Money he has received for decades. The
Arab spring should turn into the African
summer and get rid of the Kikwete likes(Latest
US news, world news, sport and comment from
the Guardian | guardiannews.com | The
Guardian discussion/comment-permalink/
14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January
2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state.
He has no credibility. How can a head of state
be bribed suits? We must write Downing Street
and our parliament, and let them know that
Aid to some of these african countries ought to
STOP. nyerere the founding president of
tanzania was a visionary even though his
socialist policies failed, but he was a nationalist
and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have
seen far and are on the roll to economic
dependence. Kikwete, and his chrony of rulling
elites getting richer and richer. These people
have no electricity yet the country has so many
dams and rivers. There should be a policy to
bar all corrupt leaders and their children from
stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i
blame Tanzaians for letting this happen. They
should be 100% responsible for their poverty
and suffering. We just dont need them to come
for Aid. We have many Brits out of work, and
that money should pay for their Unemployment
Benefit(Latest US news, world news, sport and
comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They
are not ready for economic transformation. In
Tanznaia today, they have started the
leadership inheritance in which the old guards
passess on the torch to their children. we
should not expect anything serious from
African nations. If it means our money, lets cut
it off. We have so many social problems to deal
with people's own created miserybecause they
will never have free elections without someone
stffing ballot boxes and ready to let the whole
country in flames as long as they remain in
power and their children in top american and
british schools(Latest US news, world news,
sport and comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma
mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika
katika The Guardian

Kama kuna anayeweza kupitia moja ya makala yangu humu siku za nyuma niliyasema haya. I worked with UNDP hapa Tanzania for a long time huko Kigoma, Musoma, Kagera, na hapa Dar kabla ya kujiajiri mwenyewe. Kwa kweli serikali ya CCM ina mchezo wa kijinga, hii nchi wanaoiba ni wao kina Kikwete kusingizia Tanzania ni nchi masikini duniani, how? Misaada inakuja kwa ajili yao na wanajiingiza kwenye mikataba feki ili waiibe pesa za nchi na kuiacha nchi katika ICU. Kikwete is completely bogus na hata marais wengine waliopita kwani wote chini ya CCM wanashindana kuiba na kulindana. Miaka 15 iliyopita Kikwete alikuwa na nani? Sasa yeye ndiyo bilionea namba moja hapa Tanzania chini ya mwamvuli wa Ridhiwani mwanae. Nikiwa UNDP.....kuna mengi tuliyakusanya ila for security reasons siwezi kuyaandika hapa.....hiii nchi inaangushwa na CCM.
 
Hizo comment ni za kuchakachua - siyo za hayo magazeti yanayo daiwa kuzitoa. Wazungu wana akili zao hawaandiki kipuuzi hivyo hata kama hawakubaliani na kitu.

Hivi unakiamini ukisemacho? Au unataka tu ku-comment tu.. Au na wewe ni mmoja wao? Eti wazungu wana akili? Wewe huna? Hata sisi tuna akili pia.. ondoa pingu za mzungu kichwani mwako hata wao wanakosea na wazungu majinga zaidi yako wapo amka wewe. Kuna link hapo kwenye hiyo habari nenda ukasome kisha urudi kisha useme wamechakachua..
 
Mungu awaandalie kifo chenye mateso wote walioifikisha tanzania hapa ilipo.

Hapana.
Mie naomba ije serikali yenye kuweza kuusimamia ukweli tukawawajibisha kwa kuchukua mali zetu walizozichukua kama zao kisha wakaozee jela huko...
 
Kama kuna anayeweza kupitia moja ya makala yangu humu siku za nyuma niliyasema haya. I worked with UNDP hapa Tanzania for a long time huko Kigoma, Musoma, Kagera, na hapa Dar kabla ya kujiajiri mwenyewe. Kwa kweli serikali ya CCM ina mchezo wa kijinga, hii nchi wanaoiba ni wao kina Kikwete kusingizia Tanzania ni nchi masikini duniani, how? Misaada inakuja kwa ajili yao na wanajiingiza kwenye mikataba feki ili waiibe pesa za nchi na kuiacha nchi katika ICU. Kikwete is completely bogus na hata marais wengine waliopita kwani wote chini ya CCM wanashindana kuiba na kulindana. Miaka 15 iliyopita Kikwete alikuwa na nani? Sasa yeye ndiyo bilionea namba moja hapa Tanzania chini ya mwamvuli wa Ridhiwani mwanae. Nikiwa UNDP.....kuna mengi tuliyakusanya ila for security reasons siwezi kuyaandika hapa.....hiii nchi inaangushwa na CCM.

Mheshimiwa thubutu kidogo ili hawa wanaojifanya vipofu, na kujitia uziwi kwa kuyafumbia macho haya madudu yanayo endelea kwenye serikali yetu waaibike..
 
Hata tukijidai kujificha kwenye kivuli cha 'uzalendo' let the truth be told, tumefikishwa hapa tulipo kwa uzembe wa viongozi wetu na hakuna mtu mwingine wa kutusaidia kuondokana na hali hii zaidi ya sisi wenyewe kuamka toka kwenye usingizi mzito tuliolazwa na kudai mabadiliko ya kweli.,nchi hii haiwezi kuendelea kwa misaada, tumeshapewa pesa nyingi sana toka tulipoanza kuombaomba lakini maendeleo yapo wapi?, nchi itaendelezwa na wananchi wenyewe kwa kuwekewa mazingira bora ya kufanya shughuli za kiuchumi na zenye tija kwa taifa, lakini hilo litawezekana vipi kama leo shule hazina vitabu wala madawati, hakuna walimu, madaktari wanakimbia fani yao, wito wa uanataaluma unatoweka sasa na kila mwenye Phd anataka awe mwanasiasa.,ukiona imefikia hatua kwamba siasa ndio inaonekana kuwa a very lucrative career basi ujue nchi imekwisha.,nawahurumia watoto na wajukuu zetu tu.
 
Nikuambie siri ya ukweli. Kuikomboa hi nchi ni kuchagua chama cha upinzani ili wengine (CCM na vyama vingine) vijipange upya na kujitafakari. Nahapa, haki ya Mungu with CCM hatutakwenda popote kwani ni kanuni ama mchezo waliouweka ili kulindana na kuendelea kuibia nchi. Wewe angalia tu, viongozi wao ni wale wale recycled....unafikiri ni kwa nini? We need a change tena ya nguvu ya umma lazima kieleweke tu.
 
ukiiishi nao utawajua zaidi
wanatuona sisi waaafrika ni wajinga ndio maana tunachagua viongozi wabovu
Tena nchi yetu wanaisema ni humble country ukija na dola moja utaondoka na dola Billion moja
tena wanasema ukimpa sifa ya uongo kidogo Mtanzania utampata kwa mengi

hujaona vingozi wetu wakisifiwa na kupewa shahada fulani fulani hivi
ni njia mojawapo ya kuwarubuni ili wawe wepesi kuruhusu makampuni yao yaje kuwekeza
wanajua wakija kuwekeza nchi zao zitapata malighafi wanazotaka na pia wananchi wao watapata ajira wakija afrika

Hawa watu ukishawastudy hutatamani hata kuwaona wakija kuwekeza..
tumewakabodhi na mbuga zetu watulindie wanyama huku wakifaidika na picha wanazochukua na kuziuaza kwa tv channels kama aninal planet na NatGeo nk...kwanini tuwaache wao waje kuwastudy na kuelezea historia za wanyama na maisha ya hao wanyama wakati ni wetu? hatujui lugha? hatuna wataalamu wa wanyama? Sua wanafanya nini?
watazidi kutudharau sana hadi mwisho

Kwa mnaokumbuka madhara ya kampuni kama Barrick kwa mazingira nk nani hadi leo kachukuliwa hatua?
kwa ujinga wetu hata madhara ya barick hayajaisha tumeruhusu uranium kuchimbwa
viongozi wapo na wataalamu wa mazingira wapo wanajua madhara yake lakini wameruhusu
Nazidi kusema bila kupata viongozi wazalendo na makini Tanzania after 20 years itakua sio Tanzania tena.
Jk must wake up and do something kabla nchi haijaangamia.

Hizo comment ni za kuchakachua - siyo za hayo magazeti yanayo daiwa kuzitoa. Wazungu wana akili zao hawaandiki kipuuzi hivyo hata kama hawakubaliani na kitu.
 
Mkuu Mzungu kasema kweli tupu...... hali nchini mbaya sana FYI, watu wakula nusu mloo !! kabla ilikuwa mloo mmoja!! Ufisadi unashimiri..... Vibakuli vinajazwa na JAPAN na EU,UK,US,nk lakini vijijini maji masafi hawayajui !! Umeme tunalipa maradufu, Kodi zetu ni juu kuliko kiwango !! Wanasiasa wapo wengi kuliko watawaliwa!!

patriot patriot. Hii mizungu inaongelea juz wakati miaka kibao imekuwa ikichuma mali zetu bure na ndio chanzo cha haya.
 
Hapana.
Mie naomba ije serikali yenye kuweza kuusimamia ukweli tukawawajibisha kwa kuchukua mali zetu walizozichukua kama zao kisha wakaozee jela huko...
kama sheria ikitaka tuwanyonge tutawanyonga ili wasitokee wapuuzi wengine kama hawa.
 
Sasa hizo barabara za lami unazozizungumzia ni misaada kutoka kwa wazungu, tulichojenga chetu na kujivunia ni kitu gani, kwann nchi iendeshwe kwa bakuli wakati tuna kila kitu?? Ccm hawatobadilisha sera za kuomba misaada ktk utawala wao, kwa kifupi hawana lengo la kujenga taifa la kujitegemea.
 
Habari tangia January 2012?

Ndo walewaleee!! Kwani habari au ukweli una expiery date?

Haya sasa hata kama zingekuwa za kabala ya ujio wa Kristu kipi hakipo saizi kati ya hayo mambo? Kipi kimebadilika?

Kwataarifa yako tofati ya mwaka 2012 na 2013 ipo kwenye kalenda tu lakini mambo ni yaleyale hasa bongo!
 
patriot patriot. Hii mizungu inaongelea juz wakati miaka kibao imekuwa ikichuma mali zetu bure na ndio chanzo cha haya.
Mpendwa, ndugu,mkuu mwenye utimamu "bado tunalalamika tuuu!! Mvua ilinyesha juzi na mafuriko yakasababisha shamba liharibike!! Mmmh Lakini ardhi ipo hapo hapo na Rasilimali zipo intact, Utawala upo chini ya mikono yetu miaka 53 sasa na Uongozi ni wetu wenyewe, Hukumu ya nchi ipo katika viganja vyetu na Nguvu za uchumi na nguvu za dola tunamiliki wenyewe WaAfrika weusi na Siasa ya kujitawala ni sisi kwa sisi !!!!!!!! Lakini Tija ZERO (0) sufuri na bado tunalaumu yule aliyekuja kutukosoa "haswa akiwa Mzungu" !!! hapo hapo MaBakuli yetu mkononi tupo kwenye milango yao omba omba miaka 53.... Lakini kigogo mmoja akiumwa na kichwa tu huruka kwenda kujitibu nje!! Familiia zao zinafanya shopping Dubai,London,nk, Watoto wao wanasomeshwa majuu !! Lakini Mzungu huyohuyo anawajibika kuleta misaada ya akina mama wanaojifungua watoto taahira/walemavu,nk... Misaada ya wazungu hujitolea kusomesha WaTZ vijijini ambako tumewasaahau wananchi duni !! Bado Mzungu tunamlalamikia ...!! Rushwa tule sisi lawama apewe MZUNGU.. "Be fair mkuu"
 
Back
Top Bottom