Raia Mwema
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 535
- 79
Visiwa vya Fiji
Na wewe utakuwa ni raia wa Fiji.
Visiwa vya Fiji
Hivi Kikwete ni rais wa nchi gani vile?<br><br>
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
Walituambia tuwe mashoga mijitu ikaja juu, lakini leo wanatuandika vibaya mijitu inaunga mkono....tena kwa sababu wameongea wazungu ndiyo kabisa!!!! threads hidi zinakuwa na mashiko watu hamkumbuki baba zenu na vizazi vyenu vilivyotafuna na kuua viwanda vyetu na mashirika ya umma harafu leo mnamlauki JK?
kikwete hana tofauti ni mti wa ashok(mu-ashok)...ule mti haufai kwa kuni....haufai kujengea....haufai kwa kivuli...haufi kuwa mkongojo wa mzee...haufai kupasua mbao....zaidi sana ule mti huwa ni pango na makazi ya nyoka wale wa kijani....
kikwete is a captive of his own identity...livingi in prison of his own creation.....
the Nation has a president who cannot think beyond the next meal......yupo yupo tu..
It is NOT because of our senior LEADERS but because of WE TANZANIANS. Hapo ndipo tunapokosea, ni tatizo letu sisi coz ndo wenye shida....kwani hao leaders wao wanashida?????Ni kweli kabisa ndugu yangu. No more respect to tanzania and tanzanians, and this is bse of our senior leaders actions.
wenje bana, teh teh teh! anapiga za uso tu, dah!Hii Wenje kaiibua Bungeni. Dah,,,
Kanifurahisha zaidi aliposema watuhumiwa wa ufisadi ndio wenyeviti wa baadhi ya kamati nyeti za kudumu za Bunge. Wametimka serikali kwa aibu wamepokelewa Bungeni kwa vyeo vizito tu kama mashujaa vile.wenje bana, teh teh teh! anapiga za uso tu, dah!
Wanachosema wazungu ni sawa kabisa.
Misaada tunapewa wakati nchi ni tajiri kwa kila kitu bado JK anabeba bakuli la Matonya anaanza kupita kila mahali saidia baba. Lazima udharaulike kuliko lile dekio la toilet.
Lile suala la kukubali ushoga ili upewe msaada ni moja ya sababu za kuchokwa na hao wazungu. Walikuwa wanajua atakataa ila kwao wazungu ilikuwa ni njia mojawapo ya kumkimbiza, wamemchoka na bakuli lake la matonya kila kukicha wakati huku Rais, mawaziri, wabunge, wakurugenzi, wawekezaji, kila mtu anaiba/kwepa kodi wakati nchi ni tajiri rasilimali za kutosha.
Sijamwelewa Membe, hapa kosa la JF ni kumshtua na kuwafahamisha watanzania kuwa rais wetu anachafuliwa kwenye tovuti ya Guardian?
Kuna uzi nilichangia kuwa serikali yetu iwe ya kwanza kuichangia JF maana inaiba sana nondo zilizowekwa huku na wadau. Huwezi kumaliza siku ukiangalia bunge bila kuisikia mada iliyoibwa JF.
Kwa hili kilichomuuma membe ni JF kuleta yale maoni tu badala ya kuweka mjadala mzima ulioanzishwa na the guardian na kuwa JK alifanya kazi nzuri huko Davos.
Ila duh JF inaendesha nchi yetu siku hizi.