Waingereza kama kawa wawakabili warusi

Waingereza kama kawa wawakabili warusi

Nyani Ngabu ,vipi kuhusu ile" Movement" yenu ya "I can't breathe " na yale ya Ferguson imeishia wapi? Sisi tunakuombea sana uache kubaguliwa.
 
Mi naona Russian wanaleta mbwbwe za vita.
 
The UK has long been the cat’s paw of Washington within Europe. When the US sneezes it is ready with a handkerchief to blow its nose. In fact it would be more apt to replace the word ‘alliance’ in Atlantic Alliance with ‘dependence’.It will be in their dream to fight the Russians may be I should say it will their fantasy.
 
Kupigana vita kubwa yahitaji uchumi imara sana na si blabla.!,wazungu si wasukuma ambao wapo radhi kuuza ng'ombe kumi ili ashinde kesi ya kuku,hawakurupuki kuingia ktk vita kwa jambo dogo,ila nina mashaka na uwezo wa russia kumudu vita kwani uchumi wake umetetereka zaidi
Ni kweli uchumi imara unahitajika. Ila usilinganishe Russia na nchi nyibgine ambazo zinategemea kununua vifaa au misaada kwa 100%. Russia anatengeneza mwenyewe. Halafu jiulize ni kwanini ana kiburi na kujiamini. Nadhani unamlinganisha na sisi enzi za kupigana na uganda. Au saddaam Hussein nk
 
Nyani Ngabu ,vipi kuhusu ile" Movement" yenu ya "I can't breathe " na yale ya Ferguson imeishia wapi? Sisi tunakuombea sana uache kubaguliwa.

1) Ferguson hakuna ishu pale. Dogo alikuwa thug na alileta jeuri kwa polisi hadi yakamkuta ya kumkuta!

2) Eric Garner hakustahili kupigwa kabali kisa tu alikuwa anauza sigara za rejareja. Hapo sheria itachukua mkondo wake.

3) Mimi sijawahi kubaguliwa kwa sababu ya rangi ya ngozi yangu. Ila nimeshawahi kubaguliwa na Waafrika weusi wenzangu kwa sababu ambazo hata sikuzijua.

4) Hivyo achana na mimi. Ama jiombee mwenyewe na ukoo wako au waombee Watanzania wenzako (nasadiki nawe ni Mtanzania) wanaohitaji maombi yako.
 
Kuwa na B-52 haina maana ni za zamani. Hiyo ni aina tu ya fleet.

Lakini hayo madege ya Urusi ni ya kizamani
.

Duh, kazi ipo. Watanzania ni watu wa ajabu kweli kweli. Yaani kila kitu ubishi na ushabiki. Ushabiki wa aina hii utadhani ni ule wa CCM na Chadema. Hizo Tupolev bombers za urusi siyo za kizamani. Ni kweli baadhi ni model za miaka ya 1960 1970 na 1980 lakini siku zote zinakuwa modernized na equipped with nuclear war heads. Hata B-52 ni za zamani lakini zinakuwa updated. Kama mtakumbuka B-52 zilitumika hata wakati wa vita vya Vietnam miaka ya 1960. Lililo kubwa kati ya Marekani na Urusi ni kuwa hakuna nchi yioyote kati ya hizi inayoweza kushinda vita vya nuclear kwani atakayeanzisha hatashinda. Huo ndio utakaokuwa mwisho wa dunia. Upo wakati nchi zote zilikuwa zimejiandaa kwa first strike nuclear war yaani yule anayemshitukiza mwenzake ndiye anayeshinda. Lakini hii nayo imeshindikana. Urusi wana kile kinachoitwa death hand yaani ikiwa viongozi wote wa urusi wawe wa kijeshi au raia wenye uwezo wa kubonyeza vitufe vya nyuklia wataondolewa kwa shambulizi la kushitukiza silaha za nyukilia zilizofichwa zinaweza kulipuliwa zenyewe bila msaada wa mtu yeyote. ni teknolojia ya hali ya juu. kwa hiyo suala hapa siyo ushabiki wa urusi au marekani nani zaidi.
 
Urusi hawana uwezo wa kuitetemesha dunia ya kwanza. Wataendelea kuwa mbwa koko wa first world, angalia uchumi wao unavyoyumbishwa na hawana majibu. Russians are finished hiki wanachokifanya ni kifo cha mfa maji tu.
 
Ni marekani inayoweza kumuwekea vikwazo russia na kuyumba lakin russia awwzi kufanya ivyo kwa marekani
 
19849mbz2quqpjpg.jpg

The T-50 is the aircraft designed by Sukhoi for the PAK FA programme. The aircraft is a stealthy, single-seat, twin-engine jet fighter, and will be the first operational aircraft in Russian service to use stealth technology
 
I vote for Russia,,

[TABLE="class: ucc-result-table"]
[TR="class: uccRes"]
[TD="class: leftCol, width: 47%, align: right"]1.00 USD [/TD]
[TD="width: 6%, align: center"]=[/TD]
[TD="class: rightCol, width: 47%, align: left"]62.7692 RUB [/TD]
[/TR]
[TR="class: uccResRgn"]
[TD="class: leftCol, width: 47%, align: right"]US Dollar[/TD]
[TD="class: invCol, width: 6%, align: center"]↔[/TD]
[TD="class: rightCol, width: 47%, align: left"]Russian Ruble[/TD]
[/TR]
[TR="class: uccResUnit"]
[TD="class: leftCol, width: 47%, align: right"]1 USD = 62.7692 RUB[/TD]
[TD="class: rightCol, width: 47%, align: left"]1 RUB = 0.0159314 USD[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Convert again
View Chart Mid-market rates: 2015-02-24 16:46 UTC
 
Urusi hawana uwezo wa kuitetemesha dunia ya kwanza. Wataendelea kuwa mbwa koko wa first world, angalia uchumi wao unavyoyumbishwa na hawana majibu. Russians are finished hiki wanachokifanya ni kifo cha mfa maji tu.
uchumi wa rassia unaporomoka na putin amepaniki

1/8/2014 : 1$D =28 RUB, LEO TAREHE 24/2/2014 1$D=62 RUB

vita vinategemea uchumi kwa 50% na sii silaha tu
war=f(x), x1=silaha, x2=uchumi
 
Ktk historia Urusi haijawahi kupigwa.ilitawaliwa zamani sana na Mongolia.Siku walivyoamua waliwafurusha.Akaja napoleon,akafurushwa na kumalizwa nguvu.baadae akakamatwa na waingereza akiwa dhaifu.Hitler naye akaikamata ulaya mashariki yoote,ndege zake chache zilipenya Moscow,lakini akarudishwa mpaka Berlin.ktk vita silaha za kisasa ni bora,ila askari wa miguu,ndio wanaotwaa miji.warusi wakitokewa na chochote uungana na kusaidiana.wana nguvu na ujasiri.
 
Back
Top Bottom