Waingereza kama kawa wawakabili warusi

Waingereza kama kawa wawakabili warusi

''Russia anaweza kupigana na nchi zote za ulaya kwa wakati mmoja.''
Is this not exaggeration? Even Vladimir Putin can not allow his tongue to get loose this far....

Jamani, najua wengi wenu ni westernized. Russia iko juu sana kwenye teck za anga na aircraft. Kila mara wanaingia kwenye anga hata za US. Russia anaweza kupigana na nchi zote za ulaya kwa wakati mmoja.

Hakuna nchi inayoweza kupigana na russia bila kusaidiwa. Lakini russia anacheza Game yeye kama yeye...
Long live PUTIN
 
Urusi inaweza kupigana Ulaya lakini EU watakimbilia NATO ( soma Marekani ) kutokana na mikataba yao ya kusaidiana.

Ila tu, vita vyao hamba mshindi. Mutual Destruction. Hamna nchi inataka kufutwa ramani yake duniani.
 
That's so obvious, neither Russia nor Europe/NATO/USA are ready for War. As you said '' Vita vyao havina mshindi''

Urusi inaweza kupigana Ulaya lakini EU watakimbilia NATO ( soma Marekani ) kutokana na mikataba yao ya kusaidiana.

Ila tu, vita vyao hamba mshindi. Mutual Destruction. Hamna nchi inataka kufutwa ramani yake duniani.
 
''Russia anaweza kupigana na nchi zote za ulaya kwa wakati mmoja.''
Is this not exaggeration? Even Vladimir Putin can not allow his tongue to get loose this far....

sio ajabu,kumbuka sadam tu ambae alikua weak alipigana na mataifa karibu 40
 
Na wewe una uhakika?

Nahisi ni ushabiki tu maana hata Marekani wana uwezo wa kuiangamiza kabisa hiyo Russia.

Kwani Urusi hawezi kuingamiza USA? Kikinuka mtakimbia make makombola kama SATAN na BULAVA na mengineyo yanatua hapo New york bila tatizo, na usizani ni zile vita za Libya na baada ya hiyo vita kumbuka ndo mwisho wa USA na RUSSIA hakuna nchi hapo itakayo endelea kuwepo. Tunashabiki ila ukweli ni kwamba kama vita itahusisha Nuclear basi ndo mwisho wa Dunia
 
Kwani Urusi hawezi kuingamiza USA?

I'm convinced hawezi. Russia is all hype. Old hype I must add. Their glory days are over. The US runs the world. We mwenyewe hapo unatumia uvumbuzi na teknolojia ya Mmarekani kuandika humu.

Kikinuka mtakimbia make makombola kama SATAN na BULAVA na mengineyo yanatua hapo New york bila tatizo,

Delusional wishful thinking!

na usizani ni zile vita za Libya na baada ya hiyo vita kumbuka ndo mwisho wa USA na RUSSIA hakuna nchi hapo itakayo endelea kuwepo. Tunashabiki ila ukweli ni kwamba kama vita itahusisha Nuclear basi ndo mwisho wa Dunia

Unaogopa vita wewe eeh?
 
serikali ya MOSCOW ni tishio la dunia kwa sasa.US anatafutwa sana naMOSCOW sema anasita sita kuingia anga za RUSSIA.show them PUTIN.

Hakuna wa kumtetemesha kwa njia mapigano huyu Jamaa, katulia na anajua anafanya nini.
 
Urusi inaweza kupigana Ulaya lakini EU watakimbilia NATO ( soma Marekani ) kutokana na mikataba yao ya kusaidiana.

Ila tu, vita vyao hamba mshindi. Mutual Destruction. Hamna nchi inataka kufutwa ramani yake duniani.

Tsar bomb na Satan S-18 achana kabisa na Mrusi. Ulaya hakuna wa kumgusa Mrusi sio leo wala Kesho.
Labda waendelee kumuwekea vikwazo, sometimes Ulaya na US nawaona wana tabia kama za Wanawake.
Akigombana na Bwana wake anaongea weeeeeeeee!!!! Na kususa kupika atasusa. Na ataweka vikwazo vya kijinga jinga ndani ya nyumba.
US na Allies wake wapo hivyo sasa, kama wana uwezo si wamfate wamtandike kuliko kuweka vikwazo vya kipumbavu.
Mbona Libya walimfata Gadaffi na Sadam pia Walimfata.
 
Jenga hoja, na si kuporomosha viroja!
 
Kwani Urusi hawezi kuingamiza USA? Kikinuka mtakimbia make makombola kama SATAN na BULAVA na mengineyo yanatua hapo New york bila tatizo, na usizani ni zile vita za Libya na baada ya hiyo vita kumbuka ndo mwisho wa USA na RUSSIA hakuna nchi hapo itakayo endelea kuwepo. Tunashabiki ila ukweli ni kwamba kama vita itahusisha Nuclear basi ndo mwisho wa Dunia

Mkuu wakiweka Nuclear pembeni watapa nafasi ngumu Russia kushinda.
Sababu atakuwa na maadaui wengi sana.
Ila wakiruhusu Nuclear mi naamini ndani ya Dakika 20-45 kuna Nchi za Ulaya zitafutwa moja kwa moja.
Achana na Mrusi bhana.
 
Tsar bomb na Satan S-18 achana kabisa na Mrusi. Ulaya hakuna wa kumgusa Mrusi sio leo wala Kesho.
Labda waendelee kumuwekea vikwazo, sometimes Ulaya na US nawaona wana tabia kama za Wanawake.
Akigombana na Bwana wake anaongea weeeeeeeee!!!! Na kususa kupika atasusa. Na ataweka vikwazo vya kijinga jinga ndani ya nyumba.
US na Allies wake wapo hivyo sasa, kama wana uwezo si wamfate wamtandike kuliko kuweka vikwazo vya kipumbavu.
Mbona Libya walimfata Gadaffi na Sadam pia Walimfata.

Urusi wakitumia makombora ya nuclear, unafikiri Marekani/ EU watakaa kimya? Kila mmoja atamwasha mwenzake kwa uwezo wake na mwisho hamna maisha duniani- vita vya nuclear hamna mshindi.
 
Naona kiasi kikubwa fact zimewekwa kando ni mwendo wa simba na yanga.
JF haiishi vituko!
 
Jamani, najua wengi wenu ni westernized. Russia iko juu sana kwenye teck za anga na aircraft. Kila mara wanaingia kwenye anga hata za US. Russia anaweza kupigana na nchi zote za ulaya kwa wakati mmoja.

Hakuna nchi inayoweza kupigana na russia bila kusaidiwa. Lakini russia anacheza Game yeye kama yeye...
Long live PUTIN

there you are!;MOSCOW uliza kwanini EDWARD SNOWDEN alitulia MOSCOW pamoja na biti lote la USA.serikali ya moscow ni shida.
 
Tsar bomb na Satan S-18 achana kabisa na Mrusi. Ulaya hakuna wa kumgusa Mrusi sio leo wala Kesho.
Labda waendelee kumuwekea vikwazo, sometimes Ulaya na US nawaona wana tabia kama za Wanawake.
Akigombana na Bwana wake anaongea weeeeeeeee!!!! Na kususa kupika atasusa. Na ataweka vikwazo vya kijinga jinga ndani ya nyumba.
US na Allies wake wapo hivyo sasa, kama wana uwezo si wamfate wamtandike kuliko kuweka vikwazo vya kipumbavu.
Mbona Libya walimfata Gadaffi na Sadam pia Walimfata.

USA anashindwa kuvamia SYRIA na UKRAINE kwakuwa anajua RUSSIA yupo maeneo hayo.
 
Mkuu wakiweka Nuclear pembeni watapa nafasi ngumu Russia kushinda.
Sababu atakuwa na maadaui wengi sana.
Ila wakiruhusu Nuclear mi naamini ndani ya Dakika 20-45 kuna Nchi za Ulaya zitafutwa moja kwa moja.
Achana na Mrusi bhana.

Kwani vita mnakubaliana aina Za silaha mtakazo tumia?
 
Back
Top Bottom