Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #81
Wala sio kwamba mkeo akupendi..hakuna kitu kinaudhi kama kudanganywa tatizo lenu ukimpigia mtu simu anasema unawivu sana.ukiulizwa uko wapi unarudi saa ngapi mnaona kama mnafatiliwa..ndio maana watu tunajinyamazia tu..end of day mnajishtukia kama hivyo maananatufanyaga walinzi wenu..
hata kumletea kijisapraiz inashindikana.....utatokaje?