waifu ananikaba...!!!!

waifu ananikaba...!!!!

thanx mkuu,natambua sana kuhusu hilo,nimeshaongea nae sana,what am looking for is the best way on how to handle this.have tried all ways possible known to me but have registered failures

Ukitaka kutoka jioni toka nae,unaenda wapi kwani ambako wanawake hawaruhusiwi kufika?
W'end mmeshinda wote ikifika jioni kuna mechi mwambie tutoke kidogo tunyooshe miguu wala usimwambie mnakokwenda astukie tu kazungukwa na mashabiki wa mpira,kama yeye si mpenzi wa mpira ata boreka tu. Ikijirudia kama mara tatu basi ya nne atakwambia nenda tu mi nimechoka ila usichelewe kurudi!!!!!
Unakuwa umeshanunua ticket!
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
she is very right
 
Fanya shughuli zako bana kwa vile huna jambo lolote baya unalofanya, atanuna baadae atazoea, vinginevyo vumilia mkuu.
 
huyo anakupenda toka moyoni lakini kinacho mtesa ni wivu,zungumza nae taratibu kuhusu wivu wa kijinga....

Iwe wivu kweli....isije kuwa yale ya Obsession "a state in which someone thinks about someone or something constantly or frequently especially in a way that is not normal"
 
Meona eeh....huyu ni gubu tua hana lolote....gubu limepitiliza ..sie wengine madeal tunayapatia nje
utamfungiaje mume ndani kama mwali bwana? jamaa akiulizwa bei za viwanja mwaka huu hajui ila fungu la nyanya na iliki anajua...si upuuzi mtupu huu
 
hata sisi tumetoka huko huko na hiyo ni ndogo mno lakini sasa ni bata tu maana mambo ni kuvumilia na utaona mwishowe.
nampa hongera saana
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Wewe tulia kama urivyo uchiteme wala uchitafune; yani wewe ni kipusa aisee mkeo anajua ukigegeda dem mwingine lazima adate na itakuwa majanga kwake hilo sasa ni peki lako beba na tulia nalo nenda naye kila mahali. Nini kuongozana naye mbona wakwangu nilikuwa naenda naye ofisini anakaa kwenye gari nje ya ofisi anasoma vitabu na magazeti. Hiyo ndiyo inaitwa mtu ku mtu hakuna kulala.
 
mkuu nishapiga stori na waifu sana,anakuelewa lakini ukitaka kuondoka anbadilika,sometimez anakuwa mnyonge hadi unamuonea huruma inabidi tu uhairishe safari zako.kuna wakati unalazimisha kwenda ndo hivyo tena.

Kwanini usiende naye?
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

Inaonekana huaminiki kwa mkeo, jitahidi ufanye juu chini uaminike tu kijana. Mimi mwenzio nina miaka 25 sasa ktk ndoa na sijawahi pata tatizo kama hilo la kukabwa kiasi hicho!!!
 
Mkuu ulikosea mwenyewe tangu mwanzo unajua sikuzote unavyokuja ndivyo mtu anavyokupokea:
mtaishi kama kumbikumbi mpaka lini? There are time u need kuwa na friends and its a must sasakama anakuzuia hilo ni tatizo na kwakuwa haambiliki u have to make decisions as a man!
U should meet friends and they wil tel u how they run their marriages! U made a mistake from day one.
 
mmh hilo ni gubu jamani.kama mume ni wajo jiamini.kufanya hivyo unahisi unajenga ndoa yako,kumbe unaibomoa mwenyewe.kaa na mke wako umuelezee kuwa kwa kufanya hivyo hakujengi mahusiano bali ni kuyabomoa.na kuna kazi nyengine simu za kila wakati sio nzuri,mwambie wewe ndio chaguo lako ndio maana ulimuoa,ni vizuri amuamini.ukiangalia mlikuwa katika mahusiano kwa miaka 6 kabla ya ndoa.ajiamini bwana
 
aliekuwepo alikuwa hakabiki! alikuwa na maisha yake huwezi kumbadilisha kwa lolote akiamua leo ni mpira hata kama unaumwa kufa ataenda kwenye mpira!yaani alikuwa yeye kama yeye! sidhani kama nilikuwaga kichwani kwake kwa lolote! sasa mtu kama huyo utakaba nini.. mwishoni nikaona nitakuja kubabwa mie na pressur na kifo kakangu! si unajua maisha ni haya haya! kama mtu hakupendi utasubiri nini? utasubiria ndege bandarini kweli?
Dah pole....
 
utamfungiaje mume ndani kama mwali bwana? jamaa akiulizwa bei za viwanja mwaka huu hajui ila fungu la nyanya na iliki anajua...si upuuzi mtupu huu

Heheheh...

Wanawake wakipenda sana acha kabisa...
 
Kaka mkeo anakupenda sana na ana wivu sana na ndo tatizo lake na anaogopa pia huko nje unakoenda wezi wengi mtu chake lazima awe na waswas nenda naye kwenye mpira ipo cku ataboreka atakuachia,function za ofic ongea nae taratib kwa mapenz hp atakuelewa taratb taratb...we mke me mume lakn nampenda na namwelewa
 
ngoja nijaribu hii mbinu ya kumdanganya kutoka ili nimpeleke kwa mpira nione.waif alikuwa fresh kabisa ila alipopata ujauzito wa kwanza ndo akaanza kukaba mpaka wa leo.
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

mkeo ana umri gani???

mbona hajielewi hivyoo!!!

hebu jaribu kumchimba mkwara kwa kumwambia kuwa umesimamishwa kazi sababu ya kutohudhuria kikao amabacho alitia mgomo usihudhurie!!

then sikilizia mziki wake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom