waifu ananikaba...!!!!

waifu ananikaba...!!!!

mama anawivu na anakupenda..........kama kwenye function amabazo anaweza kushiriki mpe nafasi na yeye awepo ila kuhusu mpira hapo sijui uwe unaenda nae au uwe unaangalia nyumbani,, ..............or kabla ya kutoka mdoche ndio uende ili ajiridhishe utaweza docha nje tena
 
hapo kwenye bold tabia yako ni mbaya kwa nini unamfanyia mwenzako hivyo kama hutaki akupigie simu kila wakati si umwambie ukweli ukweli utabaki palepale awe anapenda au hapendi.

halafu unalalamika kwani mwanzo mlikuwa mnaishi vp maana hadi kuzaa watotot wawili leo ndio unalalamika kama ni kitu kipya utakuwa umeanza tabia mbaya wewe, na inaonesha humpendi mwenzio kama anavyokupenda.

mambo ya kuachiana nafasi ya kutoka yanazungumzika na kufikiana miafaka na makubaliano.

mkuu,nimeongea sana na waifu,anatambua kazi nazofanya sio za kukaa ofisini na kusaini mafaili,nafanya kazi za operations ambazo nakuwa bize almost muda wote niwapo kazini,pia kwa staff wenzangu inakuwa kero coz kila baada ya dk 5,unawaachia kazi wenzako we unaenda kusikiliza simu.itokee ndo bosi nae yupo inakuwaje?
 
iron lady,natambua sana hilo but kuna wakati inabidi aniache ni relax kidogo,mnakaa mnapiga stori mpaka zinakwisha,mwishowe mtu utakosa cha kuongea uanze kuropoka siri za kazini.yaani anacheza ile kitu wajaluo wanaita "ng'ato gi ng'ato" yaani man to man....basi atleast hata kwenye mpira nikiwa na washkaji wangu coz sinywi wala sivuti.hata ungekuwa wewe ungefeel "the heat"

ndugu yangu ndoa ni kuchukuliana na kukubaliana kuelewana na kuvumiliana, hiyo hali ipo na itafika wakati hata ukimuaga hata kasirika kabisa na utaweza kuzurura kadri unavyotaka.ila kwa sasa mapenzi yake kwako yako katika pick usimsononeshe kwa kumreject feelings zake za kutaka uwe karibu yake. bali mwambie kwa upendo kuwa unahitaji kutoka japo kwa muda fulani na ukiwa huko kidogo kidogo uwe unamcall ajue unamkumbuka kadri siku zinavyoenda atazoea na wewe utaweza kuwa unatoka bila kumsononesha ila SASA ISIWE NDIO TIKETI KWENDA KUFANYA MAMBO YENU YA AJABU AJABU.
halafu unatakiwa kujua kuwa siku zote mkipendana mwingine huwa zaidi ya mwenzake na kwa kipindi fulani kwa sasa yeye yu juu kimapenzi nawe itaenda na wewe utafika muda utaanza kumuona mpya na kumpenda sana zaidi yake. life goes on.

nimeshangaa unaposema eti unamdanganya upo busy kumbe simu zake zinakuchosha that is bad and not love at all. uongo uongo uongo huleta shida katika mapenzi.

wewe umeshampa mambo motomoto mtoto wa watu sasa anrespond unamshangaa INAHUSU
 
mshirikishe mambo yako.kama party ya kazini nenda nae.kama kuna function mahali flani nendeni wote.kama kuna mpira mwambie mwende wote.anakaba coz baadhi ya mambo unataka kuyafanya kama uko singo ndo maana.
 
iron lady,nimekuelewa,but kuhusu simu,mi sifanyi kazi za kukaa kitini na kumuagiza secretary,nafanya kazi ambazo ni physical.sasa unakuta kila wakati inabidi niwaachie wenzangu kazi kwa ajili ya kusikiliza simu.inakuwa hata kero kazini.wakati mwingine ndo inabidi nikaushie
 
mama anawivu na anakupenda..........kama kwenye function amabazo anaweza kushiriki mpe nafasi na yeye awepo ila kuhusu mpira hapo sijui uwe unaenda nae au uwe unaangalia nyumbani,, ..............or kabla ya kutoka mdoche ndio uende ili ajiridhishe utaweza docha nje tena

sasa itakuwa dochie dochie kila wakati?
 
thanx mkuu,natambua sana kuhusu hilo,nimeshaongea nae sana,what am looking for is the best way on how to handle this.have tried all ways possible known to me but have registered failures

it is only a matter of time, as you two continue to live together thing will automatically change but when you try to force changes, it will affect both of you.
 
anataka akuweke chini yake ili akutawale na akishakuwekea vitu ujue umekwisha kama vip mpe makavu!
 
Japo umetaka wanaume wakupe ushauri naomba kwa heshima ya pekee mimi Mdada nichangie wazo langu nikieleza kinagaubaga kwanini unakabwa na Dadangu.

Bila shaka unatumia TV nyumbani kwako kwa kuangalia taarifa mbali mbali, leo hii bila kuwa na "Ving'amuzi au wengine wanaviita Visimbuzi" huwezi kuona picha nzuri iliyotulia. Kuna ving'amuzi vingi kama vile "Startime, "DigTek", "Continental" Nasikia pia "Azam" nk. Ukiona kati ya hivi kimoja kinapendwa sana ujue picha zake ni "Classic"

Kwa hiyo Kaka kozo okamoto ni hicho KING"AMUZI CHAKO KINAMCHANGANYA DADA YAANI "MAMA KOZO OKAMOTO"
Jambo la pili linalomfanya akukabe sana ni hizi "LUKU" za mitaani nyingi zina "SHORT" sana hataki ukanunue "LUKU FAKE" wakati unayo ORIGINAL.

nimekuelewa bidada "bubu msema ovyo".ni kweli niliomba wanamme wanipe ushauri lakini pia nili cc kwa akina dada wote walioolewa na wanaotarajia kuolewa
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

kuna watu wana wivu sana nadhani mkeo ni mmojawapo, unachotakiwa ni kumwelewesha kwa utulivu tu na kwa kuwa hiyo tabia yake umeshaijua basi jitahidi kwenye mitoko yako uwe unaenda nae pia si vibaya siku moja moja uwe unamtoa kwenda kuangalia nae mpira sehemu za kistaarabu na pia uweke channel za mpira home ili mara nyingine muwe mnaangalia wote ili ajue kuwa ukitoka unaenda kufanya nn huko.

Baada ya muda atakuelewa tu jaribu kuishi na mkeo kwa upendo na akili kwani huyo ndio mifupa yako katika mwili wake na nyama zako ktk mwili wake (yaani nyie ni mwili mmoja) usimkwaze bana kama anapenda kuwa karibu nawe jitahidi ufanye hivyo ndio mapenzi hayo mtu wangu
 
mshirikishe mambo yako.kama party ya kazini nenda nae.kama kuna function mahali flani nendeni wote.kama kuna mpira mwambie mwende wote.anakaba coz baadhi ya mambo unataka kuyafanya kama uko singo ndo maana.

Hayo mambo hayawezekani chini ya jua hili kuna aina ya mambo ni lazima yatamhusisha mtu mmoja tu mume/mke.ata wewe pia huwezi umeshauri tu anatakiwa kua strong tu he looks too smooth!
 
wivu maana yake sitaki kukupoteza na sitaki kushare nataka uwe wangu mwenyewe. muwe mnaelewa wakaka.
ukizidi ni kweli una madhara lakini mapenzi yasiyo na wivu hata chembe si mapenzi kabisa.
 
iron lady,natambua sana hilo but kuna wakati inabidi aniache ni relax kidogo,mnakaa mnapiga stori mpaka zinakwisha,mwishowe mtu utakosa cha kuongea uanze kuropoka siri za kazini.yaani anacheza ile kitu wajaluo wanaita "ng'ato gi ng'ato" yaani man to man....basi atleast hata kwenye mpira nikiwa na washkaji wangu coz sinywi wala sivuti.hata ungekuwa wewe ungefeel "the heat"
Inawezekana mwanzo wakati mnaoana ulionyesha mapenzi ya namna hiyo bila shuruti sasa unapojaribu kutoka kwenye mazoea lazima umpe shida mkeo. Wanawake walio wengi wanatamani sana kuwamiliki waume zao hata kufikia kuzito watoto wao, jambo la muhimu ni wewe kudai haki ya moyo wako kama swala la mpira na marafiki. Bila kuficha au kupepesa macho mwanamme kuwa na marafiki wenye hekima ni jambo lisilopingika kwani kuna mengi utakosa ushauri kwa kujitenga nao. Kuna kabila fulani la TZ wengi wa wanawake wao wamefundishwa namna ya kumzibiti mwanamme na njia mojawapo ni kumtenga na ulimwengu wa marafiki na usishangae uko na rafiki zako yeye anaanzisha ugomvi na kuwatukana matusi yote duniani lengo ni mbaki wawili akumiliki. Kuwa makini uwe na maamuzi mazito na usikubali aingilie maisha yako ya ndani kwani japo mmmeona ila kila mmoja ana maisha yake ya ndani ilimradi hayavunji mkataba wenu wa ndoa.
 
Nampongeza kwa kazi yake nzuri....maana sie tukiachiwa ni majanga....
Unataka kwenda mpirani mbebe...unataka kwenda party nenda nae...akigoma baki nae ndani...ndio ndoa hiyo
 
Pole mkuu..ila inawezekana mazingira hayo uliyaandaa mwenyewe kabla hamjaoana. Inabidi umueleweshe akuelewe na ikibidi uwe unamwambia akusindikize hasa kwenye mpira atafanya hivo mara 2 au 3 halafu atachoka na kukupa ruhusa uende peke yako.
 
Dah.kazi kweli
Kwrli we a differ.
Kaa nae chini mwambie.
Too much
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom