waifu ananikaba...!!!!

waifu ananikaba...!!!!

tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili...lakini waifu ananikaba sana, atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

That is too much, lakini inakuja kwa sababu anakupenda sana sana, isitoshe hajawahi kuona chochote ambacho kinaonyesha kwamba wewe sio mwaminifu, in short anajiona kama vile siku akijua unacheat atajiua.

Kuna baadhi inafikia hata kuangalia game kama za UEFA usiku home unakataliwa, home sebureni hataki ubaki peke yako kwa kuwaza kwamba utaanza kuchat na madem badala ya kuangalia boli, ni wivu kwa sababu anakupenda.

Hii kuimaliza ni ubabe tu, huwezi kuimaliza kwa kushauriana naye, atazingua. Kama kuna game print ratiba mwambie naenda kuangalia game hii nah ii, akitaka aje. Ukienda naye kama game 6 mpaka 10 ataacha mwenyewe kukufata fata, tena pengine unaenda naye afu mnakuwa na washkaji unakuwa kama unamuignore kwenye stori zenu za mpira, ataboreka na kukuacha uanze kwenda peke yako.

Njia nyingine ni risk sana lakini ni nzuri zaidi kama ikifanya kazi, hii ni ya kutongoza demu afu meseji unaziacha kwenye simu, akiiona anamind, unajitetea mnasuruhisha yanaisha, unarudia tena kama mara tatu kwa intention za yeye kuona kwamba hata na udhibiti wote ila umeweza kufanya, so ataamua kukuacha ujichunge mwenyewe, sasa akishakuacha wewe ndo unatakiwa uonyeshe nidhamu, ukisema unaenda mpirani ni mpirani kweli. Risk yah ii ni kubwa hasa akiamua kukulipizia akaenda kugongwa kwengine.
 
hayo makavu nampaje mke wangu?hebu nipe demo kidogo

mwambie kistarabu huwezi kukaa ndani muda wote kama anavyotaka yeye na utoe sababu asipokuelewa na akianza kulia mwache hivyo hivyo mpaka atazoea.
 
Nampongeza kwa kazi yake nzuri....maana sie tukiachiwa ni majanga....
Unataka kwenda mpirani mbebe...unataka kwenda party nenda nae...akigoma baki nae ndani...ndio ndoa hiyo

Nilishawahi kuambiwa makavu baada ya kung'ang'aniza kwenda sehemu "Kama mimi siendi na wewe hutoki humu", Sikutoka na iliniuma mpaka leo.
 
Duh hapo kazi unayo kaka ni wivu tu huo hakuna kitu kingine,na wivu uliokithiri ni janga lingine!na huaenda ata arsenal vs liverpool kesho ukaikosa pole sana kaka but try to be a man if posible!

bora nikose hiyo lakini nisikose chelsea vs newcastle....hail de bluesssss
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

Unapokubali kuoana na mtu kozo okamoto lazima umempenda na yeye kakupenda,
Unapompenda mtu lazima ukubali kubadili baadhi ya vitu ulivyokua ukivifanya ili muishi kwa amani japo si kila kitu
Huwezi kuishi kwenye ndoa kama ulivyokua unaishi kabla ya ndo - kuna vitu lazima u sacrifice kwa umpendae

Kama kabla ya ndoa ilkua haiishi 1hr bila kumpigia au kum text na sasa anaona hufanyi hivyo lazima yeye afanye tena atakua na mashaka na wewe
Kama ulimzoesha kuwa nae muda mwingi sasa huna muda nae ila una muda wa kwenda kwenye mpira tu lazima akubane maana anaona umebadilika
Mbaya zaidi hapo kwenye red wewe si mwaminifu bali mwongo na kama ulimpata kwa kutumia uongouongo na ku pretend na sasa yanakushinda - tambua wazi ndo ndoa inaelekea kukushinda pia
 
Mbona unaanika mambo yenu na mkeo hadharani? Kama unataka space (nafasi ya kufanya mambo yako), si umwambie tu! Be a man and act like one!! Provided usiende small houses!!!:yield:
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
 
That is too much, lakini inakuja kwa sababu anakupenda sana sana, isitoshe hajawahi kuona chochote ambacho kinaonyesha kwamba wewe sio mwaminifu, in short anajiona kama vile siku akijua unacheat atajiua.

Kuna baadhi inafikia hata kuangalia game kama za UEFA usiku home unakataliwa, home sebureni hataki ubaki peke yako kwa kuwaza kwamba utaanza kuchat na madem badala ya kuangalia boli, ni wivu kwa sababu anakupenda.

Hii kuimaliza ni ubabe tu, huwezi kuimaliza kwa kushauriana naye, atazingua. Kama kuna game print ratiba mwambie naenda kuangalia game hii nah ii, akitaka aje. Ukienda naye kama game 6 mpaka 10 ataacha mwenyewe kukufata fata, tena pengine unaenda naye afu mnakuwa na washkaji unakuwa kama unamuignore kwenye stori zenu za mpira, ataboreka na kukuacha uanze kwenda peke yako.

Njia nyingine ni risk sana lakini ni nzuri zaidi kama ikifanya kazi, hii ni ya kutongoza demu afu meseji unaziacha kwenye simu, akiiona anamind, unajitetea mnasuruhisha yanaisha, unarudia tena kama mara tatu kwa intention za yeye kuona kwamba hata na udhibiti wote ila umeweza kufanya, so ataamua kukuacha ujichunge mwenyewe, sasa akishakuacha wewe ndo unatakiwa uonyeshe nidhamu, ukisema unaenda mpirani ni mpirani kweli. Risk yah ii ni kubwa hasa akiamua kukulipizia akaenda kugongwa kwengine.

ooohooo mkuu hiyo njia ya pili unanitafutia kifo wewe
 
Unapokubali kuoana na mtu lazima umempenda na yeye kakupenda,
Unapompenda mtu lazima ukubali kubadili baadhi ya vitu ulivyokua ukivifanya ili muishi kwa amani japo si kila kitu
Huwezi kuishi kwenye ndoa kama ulivyokua unaishi kabla ya ndo - kuna vitu lazima u sacrifice kwa umpendae

Kama kabla ya ndoa ilkua haiishi 1hr bila kumpigia au kum text na sasa anaona hufanyi hivyo lazima yeye afanye tena atakua na mashaka na wewe
Kama ulimzoesha kuwa nae muda mwingi sasa huna muda nae ila una muda wa kwenda kwenye mpira tu lazima akubane maana anaona umebadilika
Mbaya zaidi hapo kwenye red wewe si mwaminifu bali mwongo na kama ulimpata kwa kutumia uongouongo na ku pretend na sasa yanakushinda - tambua wazi ndo inaelekea kukushinda pia

nimeshatoa sababu za kuchunia simu kazini
 
mimi sioni kama ndio anakubana, kwani ingekuwa hivyo labda asingekubali hata uende kazini. Hapo kaka jiangalie nawewe as ni mazingira gani unayomuwekea mkeo hadi afikie ktk hali hiyo unayodai anakubana..ni labda anaona au kuamini kuwa hujatulia ndio maana anafanya hivyo..sasa cha kufanya ni kumuwekea mazingira ya kumfanya AKUAMINI na pia ewe kwa upande wako, MPE UHURU yaani mfano akitaka kwenda kwenye shughuli za wanawake wenzake, basi MPE RUHUSA, akitaka kwenda sijui kusalimia rafiki zake wewe MRUHUSU tu, au mara nyingine hata wewe unaweza UKAINITIATE kajisafari ambako ataenda peke yake..WAKATI UKIMPA RUHUSA HIZO HAKIKISHA WEWE UNAKUWA UNABAKI HOM ili aone kuwa hata wewe unaweza kuwa hom huku yeye ametoka...fanya hivyo utaona km yatajirudia hayo. Pole sana ila nakuomba endelea kumpenda na kumheshimu sana mkeo kwani kuna wengine wanatafuta hata hao wa kuwabana na HAWAWAPATI! Ukishikwa mkuu, SHIKILIA.
 
mbona nimetulia mkuu,mtu mzima akiamua kufanya kitu basi ujue kaamua na sio tamaa

Inawezekana umetulia kama ulivyosema ila PENGINE kuna viashiria vinavyoonyesha unaweza kuanguka shimoni ndio maana waif wako yuko kwenye lindo! kwa mfano labda una tabia ya kuzoeana sana na watoto wa kike ofisini kwako au majirani kwa njia njema tu, au wewe ni shingo feni akikatiza mkike lazima umsindikize kwa macho, au mtaani wamehamia vibaka wa waume za watu n.k. tabia kama hizo na zinazofanana na hizo zinaweza kumfanya mkeo awe standby 24 hrs. Relaxxxxxxxxxxxxxx make life easy...
 
Nilitaka kujua ni shabiki wa timu gani mkuu siunaona sasa umefunguka hahaha!we jipekeche atazoea tu!

hehee kozo okamoto uwe unaenda nae maramojamoja
chezea mapenzi wewe......
wenzio wanalia wapate wa kuwapenda hivyo hawapati kwikwiiiii
 
We jamaa hivi mbona unachukulia ndoa ka mambo za boyfriend na galfrnd hivi haujui ka mkeo anawezakua nae ni member wa JF what if IronLady ndio mkeo leo nyumbani utapata hata hiyo mechi yako ya kitandani achilia mbali hiyo unayolalamikia ya chelsea (mfano)
cha msingi hapa mambo ya ndani ya ndoa yamalizeni nyie ka wanandoa no need ya kuyaleta hapa kwenye kadamnasi
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
 
Last edited by a moderator:
Fanya hivi kuhusu Mpira vuta DSTV nyumban kwako na kuhusu Fuction unazo uzuria muwe mnaenda wote jambo la mwisho matatizo ya nyumban kwako jitahid kuyamaliza wewe na familia yako sio vizur kuyaleta hapa unasumbua watu tu manake sa ingine mnatunga vi-story il vipate wachangiaji.....Wife anakupenda we hutak kisa skuiz amechuja kamfanyie plastic sajar bas.......awe mzur kama unavyotaka...
 
Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia..mkeo anakupenda sana na pengine anapata hisia tofauti juu yako..
Haya ni mambo ya kuongea wawili mtaelewana tu...
 
Inawezekana umetulia kama ulivyosema ila PENGINE kuna viashiria vinavyoonyesha unaweza kuanguka shimoni ndio maana waif wako yuko kwenye lindo! kwa mfano labda una tabia ya kuzoeana sana na watoto wa kike ofisini kwako au majirani kwa njia njema tu, au wewe ni shingo feni akikatiza mkike lazima umsindikize kwa macho, au mtaani wamehamia vibaka wa waume za watu n.k. tabia kama hizo na zinazofanana na hizo zinaweza kumfanya mkeo awe standby 24 hrs. Relaxxxxxxxxxxxxxx make life easy...

Wewe inaonekana hujui wivu, tena kama kila siku akikagua simu hakuti kitu kabisa ndio wivu unaongezeka zaidi, ataanza kufikiria eti unafuta meseji, inabidi akukamate angalau anaweza kuzoea.
 
mimi sioni kama ndio anakubana, kwani ingekuwa hivyo labda asingekubali hata uende kazini. Hapo kaka jiangalie nawewe as ni mazingira gani unayomuwekea mkeo hadi afikie ktk hali hiyo unayodai anakubana..ni labda anaona au kuamini kuwa hujatulia ndio maana anafanya hivyo..sasa cha kufanya ni kumuwekea mazingira ya kumfanya AKUAMINI na pia ewe kwa upande wako, MPE UHURU yaani mfano akitaka kwenda kwenye shughuli za wanawake wenzake, basi MPE RUHUSA, akitaka kwenda sijui kusalimia rafiki zake wewe MRUHUSU tu, au mara nyingine hata wewe unaweza UKAINITIATE kajisafari ambako ataenda peke yake..WAKATI UKIMPA RUHUSA HIZO HAKIKISHA WEWE UNAKUWA UNABAKI HOM ili aone kuwa hata wewe unaweza kuwa hom huku yeye ametoka...fanya hivyo utaona km yatajirudia hayo. Pole sana ila nakuomba endelea kumpenda na kumheshimu sana mkeo kwani kuna wengine wanatafuta hata hao wa kuwabana na HAWAWAPATI! Ukishikwa mkuu, SHIKILIA.

umesema vema mkuu,ila kuna wakati nafikiria hata nitoke,nimrudie na kijisapraiz flani hivi but cwez,i love her so much.wakati wakati mwingine unamueleza kitu in advance anakuelewa but ikifika siku ndo unatoka atakuwa mnyonge mpaka unaona huruma mwenyewe inabidi tu uhairishe.
 
Fanya hivi kuhusu Mpira vuta DSTV nyumban kwako na kuhusu Fuction unazo uzuria muwe mnaenda wote jambo la mwisho matatizo ya nyumban kwako jitahid kuyamaliza wewe na familia yako sio vizur kuyaleta hapa unasumbua watu tu manake sa ingine mnatunga vi-story il vipate wachangiaji.....Wife anakupenda we hutak kisa skuiz amechuja kamfanyie plastic sajar bas.......awe mzur kama unavyotaka...

sisemi sana
 
We jamaa hivi mbona unachukulia ndoa ka mambo za boyfriend na galfrnd hivi haujui ka mkeo anawezakua nae ni member wa JF what if IronLady ndio mkeo leo nyumbani utapata hata hiyo mechi yako ya kitandani achilia mbali hiyo unayolalamikia ya chelsea (mfano)
cha msingi hapa mambo ya ndani ya ndoa yamalizeni nyie ka wanandoa no need ya kuyaleta hapa kwenye kadamnasi

bora hata iron lady anaweza akaelewa,ukikuta waif ndo madam b au heaven on earth au yule mjane mweusi faiza fox si ndo utapigwa hata ban?n'way umeongea kitu cha maana sana but nachotaka kupata ni the best way navyoweza ku handle hii situation coz naona waif wangu yuko weak sana kiasi kwamba nawaza leo hii nikiondoka duniani ataweza kweli kuihandle familia peke yake?au mi ndo nikitoweka na familia imetoweka?
 
it is only a matter of time, as you two continue to live together thing will automatically change but when you try to force changes, it will affect both of you.
mi naona amtafutie bwana wa kumkeep busy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom