bora hata iron lady anaweza akaelewa,ukikuta waif ndo madam b au heaven on earth au yule mjane mweusi faiza fox si ndo utapigwa hata ban?n'way umeongea kitu cha maana sana but nachotaka kupata ni the best way navyoweza ku handle hii situation coz naona waif wangu yuko weak sana kiasi kwamba nawaza leo hii nikiondoka duniani ataweza kweli kuihandle familia peke yake?au mi ndo nikitoweka na familia imetoweka?
Ongea nae tu mkuu atakuelewa au kuna vitu kaviona kwako siku hizi vikotofauti ndio maana anakua makini na mwenendo wako?
nilitaka kumwambia hivyohivyo, bora waende wote huenda gubu litakwisha.kwanini usiende nae kwenye hizo funksheni za kazini na pia kuangalia nae mpira...? hebu fanya hivyo! ila ujue ukishikwa shikamana....
hilo linaitwa gubu sugu
sina mtu wa kukaba labda nikabe upepo!Mmmh Smile, wewe hukabi?
Sa hapa sio semehu ya kupata ushauri wa ndoa maana kuna watako leta utani na mizaha na kunawatakao kudharau kwanini usipeleke malalamiko yako kwa wazee au kwa wasimamizi wa ndoa yenu
kwanini usiende nae kwenye hizo funksheni za kazini na pia kuangalia nae mpira...? hebu fanya hivyo! ila ujue ukishikwa shikamana....
Mkuu mshukuru sana Mola kwa kukupa mwenza aneyekupenda na kutamani kuwa na wewe kila saa. Wengine tukirudi au tusiporudi home haina tofauti yoyote. Wewe mwenyewe ukichoka kukaa nje utarudi tu. Hutafutwi wala huulizwi.
Usikute anakupigia simu ili ajue upo kazini au la,ili aingize kiserengeti boy chake. Wanawake kwa ku act nawasalutia. Anajifanya kwamba usiende kwenye function zako,huku kisogoni anakubeza na kushukuru kwamba umeondoka aingize wanaume wa shoka.
Mkuu mshukuru sana Mola kwa kukupa mwenza aneyekupenda na kutamani kuwa na wewe kila saa. Wengine tukirudi au tusiporudi home haina tofauti yoyote. Wewe mwenyewe ukichoka kukaa nje utarudi tu. Hutafutwi wala huulizwi.