waifu ananikaba...!!!!

waifu ananikaba...!!!!

tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

Funga dstv home bro then full kuleta marafiki muangalizie hapohapo home, atachoka mwenyewe hizo harufu za soksi, mbona atakuruhusu ukaangalie nje mwenyewe.
 
mapenzi hayaelewekieleweki hv! ukipendwa sana shida, usipopendwa sana shida.....!
daaah............!
 
Pole lakini ndo maisha ya mapenzi.chamsingi kaa nae chini mweleze kuwa kwa nn kuna wakati unahitaji kutoka na kujichanganya na wenzako.halafu ni lazima kujua kama na yeye anapendelea kwenda wapi kwa mfano wewe unapenda mpra labda yeye anapenda kwenda kwenye majumba ya sinema,basi mpange wekeend hii tunafanya analopenda huyu wekeend ijayo analopendelea mwingine,na wakati ukiwa kwenye mpira basi usimsahau sana unaweza ukawa unamtumia sms wakati wa mapumziko unampigia simu inaweza kusaidia
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Huyo mkeo kaa nae mueleweshe, halafu uwe unatoka nae kwenda huko kwenye mpira nk, itafikia mahala atachoka mwenyewe. Anadhani kwamba huko unapoenda pengine kuna demu unaweza mpata au unaye. Mwelimishe. Halafu wakati mwingine amua tu kutokane, mpate drinks pampoja halaf mnarudi hm. Vilevile unaweza kutaoka nae pamoja na rafiki zako, na uendeleze hiyo, kuna wakati yeye mwenyewe atakwambia "nimechoka", "sijisikii" nk. Sasa hivi anakustukia, hakuamini sana ingawa anakupenda. Anadhani kuna mademu wanaweza kukupagaisha..... ukamsaliti.
 
Nina uzoefu zaidi ya miaka 20 kwenye ndoa, ndio maana nakushauri hivyo. Miaka ya mwanzo kwenye ndoa ( ndoa za vijana) matatizo ni kama hayo, upendo unakuwa ni mkubwa mno, lakini unaingiliwa na mambo mengine ya kijamii kama hayo (mpira, ndugu, mama/baba mkwe, mashemeji nk) hapa inabidi ufunge mkanda na umshikilie vema mkeo. Akiwa analia mbembeleze, toka nae. Wakati mwingine achana na kwenda kenye mpira, au nenda kwenye mpira sehemu ambayo ina ustaarabu
 
hapana bidada kwani function za kazini ni kwa ajili ya wafanyakazi tu,na unakuta kuna kadi zinatolewa na zikisisitiza kuwa ni kwa ajili ya wafanyakazi tu.ok fine naweza kwenda na waif but nitaonekanaje mbele ya staff wenzangu?ndo nitaanza kupigwa jungu,kwani wao hawana wake?etc etc

pole sana
hiyo ofisi yenu wajifunze.. na wabadilike lolz
Kama party ya wafanyakazi ni usiku na hakuna kadi za partners wao huo ni ulimbukeni..otherwise wafanye working ours. Sherehe za hivyo siendi!
 
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.

wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?

cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

Huko kunaitwa kutikisa kibiriti...
Wake zetu wengine wamekuwa manunda kwa sababu hatukuendekeza huo upuuzi toka mwanzoni. Kama kununa anune... Atanuna siku ya kwanza, ya pili ya tatu... then atazoea. Acha kumuendekeza.

Tatizo lako wewe ni kuwa unapotoka unamuomba ruhusa. Mwanaume huombi ruhusa, unatoa taarifa. "Dear, naenda kucheki mechi, naweza kurudi kwa kuchelewa kidogo. Mkiivisha mapema endeleeni tu kula, usikae na njaa kunisubiri... Badae.." ... Then mlango paa... unasepa.
 
Nina uzoefu zaidi ya miaka 20 kwenye ndoa, ndio maana nakushauri hivyo. Miaka ya mwanzo kwenye ndoa ( ndoa za vijana) matatizo ni kama hayo, upendo unakuwa ni mkubwa mno, lakini unaingiliwa na mambo mengine ya kijamii kama hayo (mpira, ndugu, mama/baba mkwe, mashemeji nk) hapa inabidi ufunge mkanda na umshikilie vema mkeo. Akiwa analia mbembeleze, toka nae. Wakati mwingine achana na kwenda kenye mpira, au nenda kwenye mpira sehemu ambayo ina ustaarabu

Unless kuwe na sababu ya maana kama kuumwa, ugeni, ratiba nyingine za nyumbani nk... but huwezi kumshauri mtu aache starehe zake ali 'akae tu' na mkewe kumridhisha...
 
Huko kunaitwa kutikisa kibiriti...
Wake zetu wengine wamekuwa manunda kwa sababu hatukuendekeza huo upuuzi toka mwanzoni. Kama kununa anune... Atanuna siku ya kwanza, ya pili ya tatu... then atazoea. Acha kumuendekeza.

Tatizo lako wewe ni kuwa unapotoka unamuomba ruhusa. Mwanaume huombi ruhusa, unatoa taarifa. "Dear, naenda kucheki mechi, naweza kurudi kwa kuchelewa kidogo. Mkiivisha mapema endeleeni tu kula, usikae na njaa kunisubiri... Badae.." ... Then mlango paa... unasepa.

mukubwa uko yuu!!!hapa umenena,nimekusikia kwa 100%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom