Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #141
Utakuwa umeshawahi kumtenda akapoteza imani yake kwako...au amewahi sikia adithi za wanaume wasio waaminifu kaamua kuwa makini kabla hajaibiwa...au ana matatizo ya kisaikolojia...majibu ni hayo matatu...
Ila atakuwa anateseka sana kama si kukonda...badala ya kulalamika unatakiwa umsaidie kwa kuongeza mapenzi...usisubiri awe anakupigia simu yeye tu nawe uwe unapiga....maana nimeshaona dalili za kuwa bidada ana try so hard na inakuwa kama penzi la upande mmoja (kapenda asipopendwa)
mkuu nyumba kubwa,nampenda sana waif.huwa anaelewa kama haujafika muda wa kuondoka.ukitaka kutoka tu....unalo