Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,119
- Thread starter
- #41
Ni saa kumi na moja alfajiri niko uwanja wangu wa kujidai a.k.a toilet
Da, nimecheka sana hadi waif kashtuka, hivi hiyo avatar ndio wewe? Maana huyo jamaa na wewe ngoma droo