Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Acha kujiona msafiUovu wa matendo ya Magufuli ndicho kinachomchafua. Panda wema utavuna mema
Usinisakame Magufuli alikuwa si mtenda haki, alikuwa mtukanaji, hakuwa mnyenyekevu, alikuwa mjivuni I, mwenye dharau na kebehiAcha kujiona msafi
Wahuni sio wa kuchekewa hata kidogoUsinisakame Magufuli alikuwa si mtenda haki, alikuwa mtukanaji, hakuwa mnyenyekevu, alikuwa mjivuni I, mwenye dharau na kebehi
Mbuge aliyelia mwezi ulioopitabungeni wameuuwa watu sita akiwemo na nduguye ilikuwa kipindi cha magufuli? Acheni kumchafua walikotwa kwenye viroba ni magaidi wa kibiti je? Ulitaka magaidi waachiwe wadhuru ndugu zetu wasiokuwa na hatia kama kuna ndugu zako walikuwa kule na wakaghuguliwa ni sahihi acha kumchafua JPM kawalilie vyombo vya ulinzi ndo wenye majukumu ya kulinda nchi uone watakufanya nini?Mbona hatusikii watu wakotekwa au kuokotwa maiti kwenye viroba, mbona hatuoni wanasiasa wakipigwa risasi hadharani lazima tujue nchi ilipotea njia
Sema uovu mmoja aliofanyaUovu wa matendo ya Magufuli ndicho kinachomchafua. Panda wema utavuna mema
Acha kukariri mambo yasiyo na uthibitsho. Mwenyekiti wa PAC alitoa majibu kuwa hakuna pesa no iliyoibiwa.Magufuli ndiye Rais fisadi Papa bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.
Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.
Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule wa historia.
View attachment 2057729View attachment 2057730View attachment 2057732View attachment 2057733
Wahuni sio watu.Wahuni sio wa kuchekewa hata kidogo
Ndio maana ameungana na wahuni wa CcmZITO ni ccm lialia