Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,315
Kuna askari 10 wanampiga mtu kisa hakijulikani.Kuna nini tena huko Daslam?
Baba yake si alisema kao bikra?Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi
Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini amweke ndani. Akawa mbishi.
Wahuni siyo watu wazuri asikudanganye mtu.
Kisa ni alisuKuna askari 10 wanampiga mtu kisa hakijulikani.
Kuchapiwa ni Siri ya ndani πEvery creature with a long manhood flapping between his legs is a potential victim of what happened to Bwana Kamwe.
So don't cheer up, take this as a lesson.....
Hata Kaisari alichapiwa.....Kuchapiwa ni Siri ya ndani π
Kaolea jamiiHizi Pressure za Social medias, ukioa Mke mcharuko halafu mkali, ni jambo la dakika 5 tu watu kukuibia
Labda asiwe mtu wa tamaa, maana Kuna wahuni hawaoni shida kumlipia vacation akale maisha Brazil ama Dubai π
Wahuni ni watu ila kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio ni usenge.
Sasa si ungekuwa umenyamaza bi tatu mkuu? Maana nawe unacomment huku ulipaswa unyamaze mgalatia wanguWanaume wenzangu mnazingua. Haya mambo waachieni akina mama. Unless otherwise kama mtoa mada ni mmama/mdada.