Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Wanywa soda tumezoea dharau zao.
Kuhusu hilo usihofu nina uchangamfu natural [emoji23][emoji23][emoji23]Haya njoo tu ingawa nna wasiwasi kama utachangamka kama mimi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu hilo usihofu nina uchangamfu natural [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa simalizi lakini hana tabia nzuri. Uko njema lakini?Kunywa naye tu mkuu, kwani utaimaliza mwenyewe hiyo chupa?[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ilinifanya nianze kunywa pombe
Niko poa kabisa mkuu, huyo mhudumu anakuchukulia poa eeh!, mwambie una madorale mbayaa
Niko poa kabisa mkuu, huyo mhudumu anakuchukulia poa eeh!, mwambie una madorale mbayaa
Sent using Jamii Forums mobile app