Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,210
Pastor mmoja hupenda kuchangamsha waumini wake wakati wa mahubiri kwa kuwaambia,"Ambia jirani yako yesu anakupenda."
Leo akawa anahuburi kuhusu wanawake wasio pata mimba akaambia waumini,"Ambia jirani yako huu mwaka utapata mimba!
Watu waliokuwa wamekaa na wanaume wenzao wakabaki kimya.
Gafla tukasikia mtu amepigwa kofi huko nyuma,kisha mtoto mmoja akaanza kulia alafu baba yake akamwambia,"Shenzi wewe,ukome upuuzi!!"
Kumbe mtoto alimwambia baba yake,"Utapata mimba mwaka huu!!"