Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Hiyo stail imekuwa maarufu sana imeshawekwa mask za spiderman, angel, lion dah yani kwa kweli wamepagawa..nawaza j3 watakapokipiga na Australia sijui itakuwaje
. Wacha kabisa Mkuu. Ila mechi ni J5; halafu pata picha ni saa moja usiku!!!Hiyo stail imekuwa maarufu sana imeshawekwa mask za spiderman, angel, lion dah yani kwa kweli wamepagawa..nawaza j3 watakapokipiga na Australia sijui itakuwaje
ungekuwa unafuatilia world cup ungeelewa.sijaelewa, anaigiza kuanguka ili iweje?
Hadi Flaviana Matata na yeye....
![]()
mhhh, Manyu wambeya!!!??? mshaanza kuchonga?
Sijaelewa, anaigiza kuanguka ili iweje?
Eti na yeye ameruka kivan persiii,makubwamatata nae nini...?
uswazi raha sana halftime wengine wanaita offtime yaaani daaaaManchester United (Man U-Manyu-uswazi huku we acha tu)
kuna mtu nilikaa naye kuangalia mpira anasema kaunta tiki