ball possession inaitwa ball pozisheni
Mkuu Amavubi, hilo lilikua bongee la goal! Hili pamoja na lile alofunga Zidane fainali ya UEFA champion kati ya Real Madrid na Lever Baye C. yatapakia kuwa moja kati ya magoal bora sana ktk historia ya mchezo wa soka.
hahahaaaaa,kweli aisee juzi jpili ilitokea kwenye mechi fulani hiviNa wale mashabiki jina eti referee anaitwa kocha unasikia huyu kocha anapendelea sana brazil hahahahaaa:sly: ni shidaaaaa!
hahahaaaaa,kweli aisee juzi jpili ilitokea kwenye mechi fulani hivi