Waholanzi jamani wataumia kwa kupagawa

Waholanzi jamani wataumia kwa kupagawa

article-0-1EC4640400000578-586_634x323.jpg
Waholanzi jamani wataumia kwa kupagawa, wasaidieni ushauri haraka kabla ya madhara zaidi maana ni kama wanaiga Tembo............
 
article-0-1EC4673600000578-751_634x349.jpg
ona hata haka katoto jamani!!!!!!!!!eti kamejiwekea chuma la kuanzia kujirusha
 
si hao tu bali hata watoto wa tz nao wameanza huo mchezo yaani shida
 
Mwanangu jana alijaribu kumwonesha mama yake wakiwa jikoni sasa mdomo umepasuka sasa tupo hospitalini yani Van Persie katuharibia watoto nasikitika sana bora asingeona tu akabaki salama
 
Van mabao,mwakani mtakoma sana katika EPL,mabao ya aina hiyo yatakuwa ya kumwaga...
 
Mwanangu jana alijaribu kumwonesha mama yake wakiwa jikoni sasa mdomo umepasuka sasa tupo hospitalini yani Van Persie katuharibia watoto nasikitika sana bora asingeona tu akabaki salama

una bahati hakuangukia sufuria la kande
 
Back
Top Bottom