Wahitimu wa vyuo waokolewe

Wahitimu wa vyuo waokolewe

Unahis kufika huko bila ajira ni rahis..nan anakulipia masomo hayo kuwa specialist...hiv unaweza kusoma na njaa..mkuu naomba uingie chimbo kidogo ujue taratib had unakua bingwa inakuaje...
Jitolee kwanza utengeneze jina, fedha zitakuja tu zenyewe...na ukiwa kichwa utakuwa unazikimbia hela
 
Tembelea hospitali yoyote unayoifahamu,angalia idadi ya wagonjwa na wahuguzi; kuna sehemu mgonjwa anachukua zaidi hata ya masaa sita hajamuona daktari.....hapo utaniambia kwamba mtu akiomba kujitolea atakosa nafasi?
hiyo sio sababu mkuu hadi upewe hyo nafasi ya kujitolea kuna milolongo yake.
Huwezi kujipeleka tu kienyeji halafu upewe hyo nafasi eti kwa vile umeona wagonjwa wengi hyo kitu haipo
 
Mkuu laiti kama ungejua situation za vijana hao usingekua unaongea hvyo...na kibongo bongo skuhiz ukijifanya unapenda ku voluntere utabak unatumikishwa weeeee had akili ikukae sawa na kaz hupat..
 
Wale walionyimwa nafasi wanatakiwa waje hapa watoe ushuhuda,ni wapi walienda na kwa nini walinyimwa nafasi; wengine wamehitimu ila kujieleza ni tatizo pia
 
Tengeneza 'brand' kwa gharama yoyote ile, hata kwa miaka 5 kwa kujitolea
 
Halafu wakitoa huo ushuhuda utawafanya nini hao wenye hospitals.
Hayo si ndio mambo Chadema wanayaimba kila siku,ni hatua gani imechukuliwa hadi sasa?
Wale walionyimwa nafasi wanatakiwa waje hapa watoe ushuhuda,ni wapi walienda na kwa nini walinyimwa nafasi; wengine wamehitimu ila kujieleza ni tatizo pia
 
Halafu wakitoa huo ushuhuda utawafanya nini hao wenye hospitals.
Hayo si ndio mambo Chadema wanayaimba kila siku,ni hatua gani imechukuliwa hadi sasa?
Nafahamu kuna maeneo mengi sana,watu wa kujitolea wa afya wanahitajika; ila wahitimu wanabagua
 
Suluhisho la hili tatizo ni ajira za kudumu ziondolewe, mtu aajiriwe kwa miaka 5 tu, baada ya hapo wakajiajiri....nadhani ikiwa hivyo itatatua hii changamoto ya ukosefu wa ajira, pia uchumi utakwenda kwa kasi kwa sababu sekta binafsi zitakuwa nyingi zikiongozwa na wasomi.
rafiki yangu unataka utukanwe sana na waajiliwa
 
Back
Top Bottom