adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,978
- 6,196
100%Cha kujifunza hapa, hatima ya maisha yako, yako mikononi mwako; ni kujaribu kutumia elimu ya darasani, kama imeshindwa kufanya kazi tumia kipaji ulichonacho, vinginevyo tutakuwa tunalaumu mpaka tunazeeka hakuna cha maana tulichofanya.
Nimependa sana ule mgawanyiko wako wa kwanza fanya unachowaza ambacho kipo ndani ya mikono yako.
Be blessed.
