[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti course ya udaktari ya bingwa khaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio hicho kitu nilikuwa namuelekeza yeye anafikiri labda kwenye chuo cha udaktari kuna kozi inaitwa udaktari bingwa.
Hajui kwamba lazima upitie MD then badae unajiendeleza halafu unaspecialize kwenye kieneo kimoja unaweza kuspecialize kwenye mifupa,sikio(meno),ngozi na maeneo mengine.
Kama wewe ni daktari na huna sehemu ya kujitolea,nyoosha mkono juu,upate sehemu za kujitoleaHahahah Mkuu wewe una elimu gani na fani gani tuanzie hapo...na umezaliwa 1980 below au above kwamba unasubiria pension huelewi mtaa
Wengi huishia njiani kutokana na kichwa kuwa kizito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti course ya udaktari ya bingwa khaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi sio Dr Mkuu,nashukuru.Kama wewe ni daktari na huna sehemu ya kujitolea,nyoosha mkono juu,upate sehemu za kujitolea
[emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeehWengi huishia njiani kutokana na kichwa kuwa kizito
Siku hizi ukienda kujitolea ndio basi tena hawaajiri mtu wanakutumia miaka yote bila mshahara.Mkuu laiti kama ungejua situation za vijana hao usingekua unaongea hvyo...na kibongo bongo skuhiz ukijifanya unapenda ku voluntere utabak unatumikishwa weeeee had akili ikukae sawa na kaz hupat..
wazungu ndo wana akili zaid? wao wana utamadun wao na wabongo tuna wetu, yan niuwe watoto kisa cna kazi? hyo akil kwel?Ona sasa akili za wabongo hizi
Ndiyo maana wazungu wanatudharau
Aisee jamaa unaandika nini.Kama kipaji kipo,wawekezaji watapatikana
Hivi huyu jamaa anaandika nini 👆👆Tatizo tunang'ang'ania mijini, ukinunua kile kifaa cha kupimia na ukaweka kiti hapo nje....wagonjwa watajileta wenyewe; fani za afya kwa asilimia kubwa kwa mtu makini ni rahisi kujiajiri,na wanahitajika sana.
Tatizo wanataka kazi za ofisini,tai kubwa,koti n.kHivi huyu jamaa anaandika nini 👆👆
Mkuu una ujuzi gani?Aisee jamaa unaandika nini.
TeachingMkuu una ujuzi gani?
Kuna kazi za kutumia akili nyingi sanaKuna misemo mikuu ukiangalia sana taarifa ya habari hasa zikitokea ku delay kwa vitu.
1.Watumishi hawatoshi ndio maana tunakwama.
Sijawahi kuelewa mapaka leo hii huwa wanaamanisha nini tukiona vijana wanahangaika huku mitaani.
Tupunguze roho mbaya na ubinafsi sisi tulio makazini.
Nakumbuka 2006 na sita kuna HR mmoja alikuwa anaita vijana kusaidia kupanga panga files kwa ofisi na ndiko huku wengi tulijua connections za kazi.Sasa watu kama hawa ni wa kuhesabu sana.
Hizi recruitments agencies pia kuna baadhi zinaharibu sana ndoto za vijana wetu..zimejaa dharau?na kila aina ya maudhi.
Kijana usibague kazi hata kama umesoma kitu gani..muda unakwenda na unahitaji kujikwamua kiuchumi.Tumia fursa zilizopo kwa uwezo wako na umakini wako.
Nafahamu kuna watu wanapitia mazingira magumu hata ya kukosa nauli.Ukisaidiwa saidia wengine kwa kadri unavyoweza.
Kwa fani yako hiyo ni ngumu mkuu,labda utafute ujuzi hata wa kutengeneza kitu,iwe nguo,viatu n.kTeaching
Conselling
Ni kweli kabisa mkuu.Tuwe na moyo wa kuto dharau kazi kabisa.Kuna kazi za kutumia akili nyingi sana
Kuna kazi za kutumia akili nyingi nguvu kidogo
Kuna kazi za kutumia akili kidogo nguvu nyingi
Kuna kazi za kutumia nguvu nyingi
Sasa hapo,kijana anatakiwa aangalie ni ipi itakayomfaa kwa muda husika
Cha kujifunza hapa, hatima ya maisha yako, yako mikononi mwako; ni kujaribu kutumia elimu ya darasani, kama imeshindwa kufanya kazi tumia kipaji ulichonacho, vinginevyo tutakuwa tunalaumu mpaka tunazeeka hakuna cha maana tulichofanya.Ni kweli kabisa mkuu.Tuwe na moyo wa kuto dharau kazi kabisa.
Kuna kipindi niliangalia juzi kinaitwa POINTLESS ni maswali maswali kwa huko mbele.
Jamaa aliulizwa unafanya nini ukiachana na Mechanics unayosoma.Jibu lake ni Bartender na anasema inampa hela ya kujiendeleza na kukidhi hali za maisha kwa mujibu wa ENGLAND.
Niliwahi pia kutana na IRISH mmoja alikuwa mwalimu wangu kwangu kwa 1Month.
MSc in Computer Science and BSc in Doctor of Medicine.
Nje ya shughuli hizo zote bado pia anachora sana na kutembelea familia za watu wanaotumia dawa za kulevya kwa kila week.
Wenzetu wana shughuli nyingi sana ambazo ki africa nyingi tunaziita za kipuuzi.Lakini hayo yote hutokana na dharau na kutothamini umuhimu wa kila jambo hata kama ni dogo kwa kiasi gani.
Ukiweza kufanya jambo fanya..maana malengo ya kusoma ni kujikomboa kiuchumi,afya,malazi na mavazi.
Sasa kama unaona unao uwezo wa kufanya kazi katika makundi kama uliyo sema hapo juu mkuu.Kikubwa heshima na nidhamu kwa kila unachofanya.
Weka uaminifu wa kazi zako na utulivu.Hakuna pesa nyepesi hela haimfuati mtu anayelala ana asiyetaka kuitumia akili yake..