mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,288
Lakini mkuu kuna kitu kimoja hujakielewa huwa ubingwa mara nyingi mtu anaupata akiwa kazini tayari.Si kweli mkuu, fungua uzi ili upate ukweli...'wale wote mabingwa katika idara ya afya na hawana ajira wanyooshe mikono juu',wale wenye ujuzi uliotukuka wako mzigoni iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri. wale waliofuata vyeti ndio wako nje ya ulingo
Sasa sijajua ukisema udaktari bingwa unamaanisha nini hasa labda unge specify unalenga madaktari wenye elimu ya masters,phd?
Au mwenye bachelor degree plus experience?