Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,067
wenye hiyo fani wanakijuamkuu we umekitaja unaonekana unakijua me ata jina sikijui nisaidie asaa apoo
wenye hiyo fani wanakijuamkuu we umekitaja unaonekana unakijua me ata jina sikijui nisaidie asaa apoo
ila wee jamaa ww mungu anakuona kakakuna kipindi nilikua nataka watu (2) wakushusha mizigo ya duka katoro uko.
mimi si mwenyeji wa kule hivo niliandika tangazo tu hapo mbele ya duka.
walikuja watu 16 .
kwa bahati mbaya/nzuri ni watu 3 ndo walikua na elimu ya form 4 ila 12 wote walikua wamefika chuo degree na diploma.
wa 4 walikuja na cv kabisa niliumia sana .
mmoja alikua na cv nzito mno mno ilibidi nijaribu kuisambaza kwa rafiki zangu asee
Usidanganye watu bhana....lete list ya hio vitabu ulivyoviandika wewe na malimbukeni wenzako ambavyo vina impact yoyote kwenye Elimu ya Tanzania(Elimu ya juu)Sasa vitabu visipoandikwa mkuu,huko mashuleni na vyuoni mtaenda kujifunza kwa kutumia nini?Kuimba ngonjera au? Taaluma itabaki kuwa taaluma tu
mungu tenaila wee jamaa ww mungu anakuona kaka
Tunasaka hela kwanzaUsidanganye watu bhana....lete list ya hio vitabu ulivyoviandika wewe na malimbukeni wenzako ambavyo vina impact yoyote kwenye Elimu ya Tanzania(Elimu ya juu)
Ambao wameiva kwenye hiyo fani wanakijua,ila wale walioenda kushangaa majengo na viti hawawezi kuvijuaAsaaa we ujui ata Bei yake unashauri wanunue nkajua una udhoefu navyooo
Kura haijawahi kusaidia kitu tanzaniaHalafu mwezi wa 10 pia mpige kura kwa akili siyo kwa moyo. Njie mkishapewa T-shirt tu, basi...!
Ni hatari mkuuKwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.
Hii imesababisha sintofahamu kwa wazazi juu ya future za watoto wao ambao wako mashuleni na wale ambao wamemaliza vyuo tayari.
Jambo la kushangaza zaidi ni baadhi ya kada kuwa na watu wenye elimu ndogo wanaolipwa mishahara ambayo inafanya wasomi wa juu wadharauliwe, embu imagine msomi anendesha BODABODA alafu dereva wa VX la waziri ni form four tena failure, Mwanajeshi anadrive BIMA graduate anaendesha bajaji ya BOSS, na kada nyingine nyingi
Wito wangu kwa serikali ni kurekebisha mifumo ya utoaji ajira ambayo itawafavour GRADUATES
Graduates pia wanaweza kuwa Madereva, Askari, Wanajeshi, wasaidizi wa viongozi, n.k
Lakini pia ni muda sasa wa kupitisha sheria ambayo itawataka taasisi kubwa zote Tanzania kuwa na Internships angalau asilimia 10 ya waajiriwa wote katika Taasisi fulani wawe interns nadhani tutapunguza ugumu wa maisha kwa hawa Graduates wanatia huruma kwakweli.
Hela huwa ni matokeo mkuu, aende kujitolea hospitali za kata, wilaya, mkoa n.k huko hatakosa hata 500 ya mkate kwa siku. Wanaohitaji huduma ni wengi kuliko idadi ya watoa huduma, cha muhimu ni ujuzi alionao tu kama kweli aliivishwa vizuri huko chuoni.Asaa kutoa ushauri Kama uoo inabidi uangalie na Bei yake je muhitimu anaweza aka afford au umeamua tu kutoa ushauri
Mukajitoleee,Hela huwa ni matokeo mkuu, aende kujitolea hospitali za kata, wilaya, mkoa n.k huko hatakosa hata 500 ya mkate kwa siku. Wanaohitaji huduma ni wengi kuliko idadi ya watoa huduma, cha muhimu ni ujuzi alionao tu kama kweli aliivishwa vizuri huko chuoni.
Mkuu,shida yako unalalamika sana mpaka huko mbinguni wanakuchukiaMukajitoleee,
Tumeomba kujitolea sana tumekosa.
Mununue vifaa mujiajiri
Sasa hatuna pesa ya kifaa kwani bure
Mukajitolee huko wilayani wapiwapi
🤔🤔🤔Haaa Keyboard Worrior mbona unaform Circular Convo like structure.
Haha nimerahisishia Convo maana ndipo itapoelekea bwana kibodi anagonga swali linajibiw na bwana jobless bwana Worrior kong'ota lilelile.Mkuu,shida yako unalalamika sana mpaka huko mbinguni wanakuchukia
Unaamini muuza kahawa na fundi viatu,anapata hela?Haha nimerahisishia Convo maana ndipo itapoelekea bwana kibodi anagonga swali linajibiw na bwana jobless bwana Worrior kong'ota lilelile.
Asipate kwanini.Unaamini muuza kahawa na fundi viatu,anapata hela?
Huko ndipo pa kuwekezaAsipate kwanini.
Haa mambo ya Project Y ausio.Huko ndipo pa kuwekeza
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.