Wahitimu wa vyuo waokolewe

Hebu acheni kurushiana maneno makuu....nipeni connection nipate kazi jamani!!
Mie ni graduate from Sokoine University of Agriculture (2018)
Nipo Dar es salaam napambana na hali yangu ila hali ni tete kweli kweli wakuu
 
Cha kujifunza hapa, tusome fani/ujuzi ambao muajiri atatutafuta na sio sisi kutafuta muajiri; kama utatimiza hayo, ajira itakuwa sio tatizo kwako kwa sababu soko litakuwa linakutafuta na si wewe kulitafuta soko.
habari unazoongea kijana ni za mwaka arobaini.
kazi kukutafuta si zama za sasa.
 
Hebu acheni kurushiana maneno makuu....nipeni connection nipate kazi jamani!!
Mie ni graduate from Sokoine University of Agriculture (2018)
Nipo Dar es salaam napambana na hali yangu ila hali ni tete kweli kweli wakuu
mkuu si ukalime mashamba yote haya ?
 
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.

Hii imesababisha sintofahamu kwa wazazi juu ya future za watoto wao ambao wako mashuleni na wale ambao wamemaliza vyuo tayari.

Jambo la kushangaza zaidi ni baadhi ya kada kuwa na watu wenye elimu ndogo wanaolipwa mishahara ambayo inafanya wasomi wa juu wadharauliwe, embu imagine msomi anendesha BODABODA alafu dereva wa VX la waziri ni form four tena failure, Mwanajeshi anadrive BIMA graduate anaendesha bajaji ya BOSS, na kada nyingine nyingi

Wito wangu kwa serikali ni kurekebisha mifumo ya utoaji ajira ambayo itawafavour GRADUATES

Graduates pia wanaweza kuwa Madereva, Askari, Wanajeshi, wasaidizi wa viongozi, n.k

Lakini pia ni muda sasa wa kupitisha sheria ambayo itawataka taasisi kubwa zote Tanzania kuwa na Internships angalau asilimia 10 ya waajiriwa wote katika Taasisi fulani wawe interns nadhani tutapunguza ugumu wa maisha kwa hawa Graduates wanatia huruma kwakweli.

For this time around tutaisoma namba ......ata interviws nyingi zagereshatu,,, unakutawashamwandaamtu wao wengine mnaenda kuwA ma compliment,,,,kumbe demokrasia ya kinfiki
 
Back
Top Bottom