Wahitimu wa vyuo waokolewe

Wahitimu wa vyuo waokolewe

Mimi sio graduate ww ila ni mdau mkongwe ambaye nafuatilia trends za kazi zinavyokwenda ndio maana najua A to Z soko la kazi linavyokwenda.
Shida yako wewe sio mfuatiliaji umekariri soko la miaka 5 iliyopita unafikiri ni sawa na sasa.
Kiufupi sasa hivi waajiri wamebadilika kutokana na mrundikano wa graduates mitaani inawafanya wawe viburi kuwaburuza watu watakavyo.
Si kweli mbona Mimi nilipata bila kujuana na mtu, endelea ku apply bila kuchoka maana Ni bundle lako tu,maana Mimi kabla ya hapo nilisha apply nafasi nyingi sikumbuki idadi, Yani daily naaply kazi hata tano Hadi nilivokuja kupata hii, Sasa graduates mna kata tamaa hamu apply mkifikiria watu wote hubebwa
 
Mimi sio graduate ww ila ni mdau mkongwe ambaye nafuatilia trends za kazi zinavyokwenda ndio maana najua A to Z soko la kazi linavyokwenda.
Shida yako wewe sio mfuatiliaji umekariri soko la miaka 5 iliyopita unafikiri ni sawa na sasa.
Kiufupi sasa hivi waajiri wamebadilika kutokana na mrundikano wa graduates mitaani inawafanya wawe viburi kuwaburuza watu watakavyo.
Hata Kama sio graduate usiwapotoshe wenzako wakaacha ku apply nafasi kwa kuhisi kujuana kitu ambacho si kweli na wengi Hawa apply au kujaribu kuomba mwisho wa siku wanalia Lia kuwa hamna kazi.
Nawashauri wenye kutaka kazi kuendelea ku apply bila kukata tamaa nimeona wengi wamepata bila kujuana na mtu, pia graduates msisahau kujitolea ili muanze kupata uzoefu na msikate tamaa
 
Hakuna mtu nimemkatisha tamaa ila tunaongelea hali halisi iliyopo kwa sababu humu hakuna mtoto wa kumdanganya kila mtu ana akili yake.
Ninachokwambia ni hivi hizo njia zote unazozielekeza hapa watu wameshazifanya wamemaliza kiufupi naweza kuita ni ushauri mfu au hewa hazitawasaidia kitu yaani ni bora ungewafundisha kitu mbadala cha kufanya badala ya kuwafundisha kitu ambacho ni zilipendwa unawapa mbinu iliyotumika mwaka 2014 wakati huu ni mwaka 2020.

Kila mtu achague njia iliyo mubadala itakayo msaidia na akumbuke za kuambiwa chaganya na zako.
 
bora useme hivyo kuliko kung'ang'ania kudili na matangazo ya kazi hali ya kuwa hayana impact
Mimi nimetoa my experience na watu wangu wa karibu Kama una peruxi jf kwanini usi apply nafasi while doing other bussiness. Pia wewe ka hau apply Ni wewe waache wengine wajaribu life ni choice, hutaki matangazo deal na mambo mengine issa okay, maana matangazo yamesaidia wengi
 
Yaani wewe unajiona mjuaji eti kisa ulibahatisha kupata kikazi kimoja kupitia matangazo ndio umekariri hivyo hivyo.
Nimeshafanya kazi zaidi ya kwenye kampuni 5 tofauti tofauti najua soko la kazi za Tanzania in and out.
Mwenzako nipo kwenye magroup mengi ya hayo matangazo ya kazi na kinachotokea nakiona ndio maana naongea hivi.
Yaani iko hivi yakitumwa matangazo 100 ya kazi basi matangazo 2 tu kati ya hayo ndio ya kweli hayo mengine either ni ya uongo au wameshatanguliza watu wao.
Na katika hayo matangazo 2 ya ukweli mnatuma maombi watu 1000 nafasi iko 1 au 2.
 
Mkuu na ona. Una hasira Sana na unanifokea Sana kuliko kawaida
 
Siwezi kukuwekea hasira ila nakufundisha tu mdogo wangu ili ujue tu kuwa life is not easy as you think.
Shida yenu wadogo zangu nyie huwa mkibahatisha kikazi cha kulipwa laki 6 ukaweza kuchukua Passo ya mkopo ukasababisha foleni huwa mnajisahau sana na kuchukulia maisha rahisi,jifunze kuangalia upande wa pili wa Shilingi.

Jifunze kwanza wewe ukielimika una mind bussiness zako, hayo yalikuwa maoni yangu sikukulazimisha uchukue, Sasa umeshaleta Mambo mengi yasiyo na kichwa Wala miguu, Mara kubahatisha sijui Nini na wewe siubahatishe hyo kazi ununue Paso unafikiri ni rahisi.
Mwombe Mungu akukumbuke na wewe sio kuwa na hasira na wengine, Mungu wetu sote bwana, Sasa ukimuonea wivu mwenye passo badala uombe mlango wako ufunguke si ndo unajichawia mwenyewe.
 
Watu wapitie hzo website kuangalia
Screenshot_20200811-100740_1597129741121.jpg
 
Jifunze kwanza wewe ukielimika una mind bussiness zako, hayo yalikuwa maoni yangu sikukulazimisha uchukue, Sasa umeshaleta Mambo mengi yasiyo na kichwa Wala miguu, Mara kubahatisha sijui Nini na wewe siubahatishe hyo kazi ununue Paso unafikiri ni rahisi.
Mwombe Mungu akukumbuke na wewe sio kuwa na hasira na wengine, Mungu wetu sote bwana, Sasa ukimuonea wivu mwenye passo badala uombe mlango wako ufunguke si ndo unajichawia mwenyewe.
Kwa hiyo mimi umeona sina kazi hadi nikuonee wivu wewe eti kwa kuwa na Passo.
Acha kukariri maisha sio kila anayechangia hoja hapa ukafikiri hana ajira ila tupo hapa kusaidiana mawazo tu.
Wewe unaonekana bado una wenge la kazi halijaisha.
 
Hayo ya passo ni wewe mwenyewe uliyaleta humu Mara mshahara sijui nini, maana kwako unaona Passo ndio maisha Sana. Halafu umeleta mkaganyo out of what I wrote earlier
 
Siwezi kukuonea wivu wewe siko level hizo.
 
Cha kujifunza hapa, tusome fani/ujuzi ambao muajiri atatutafuta na sio sisi kutafuta muajiri; kama utatimiza hayo, ajira itakuwa sio tatizo kwako kwa sababu soko litakuwa linakutafuta na si wewe kulitafuta soko.
 
Kuna comment yako ya nyuma ulisema niache kukufanyia hasira na wivu badala yake na mimi niombe mungu ili nifanikiwe kupata kazi kama wewe.
Ndio maana nimekuuliza wewe umeona mimi sina kazi au unafikiri mimi nimetoka shule juzi juzi kama wewe?Mimi ni mkongwe nina miaka kama 10 hivi kazini halaf unataka uniringishie maisha yako.
Relax ur going too far kwa hisia zako tu my comments were clear wewe unataka ziwe ka kichwani mwako, Sasa wivu unatoka wapi hapo!!
 
Kuna comment yako ya nyuma ulisema niache kukufanyia hasira na wivu badala yake na mimi niombe mungu ili nifanikiwe kupata kazi kama wewe.
Ndio maana nimekuuliza wewe umeona mimi sina kazi au unafikiri mimi nimetoka shule juzi juzi kama wewe?Mimi ni mkongwe nina miaka kama 10 hivi kazini halaf unataka uniringishie maisha yako.
Ndio ulikuwa na jazba Sana wakati niliandika simple tu inshort u overreacted kwa kweli, Yani ulifoka kupita kiasi and I advised you kuomba Mungu akufungulie milango ya baraka na heri maana ukisema mtu akipata kipasso na mshahara anaona tayari kafika kwa statement hyo nikaona Kuna shida somewhere it's like u were hurt.
Pia comments zangu hazikulenga mtu specific Ila ilikuwa ushauri kwa graduates wapya na wewe umesema una more than 10 year's why umechukulia comments zangu personal wakati sikutaja yoyote
 
Hata kama mm sio graduate ukiandika kitu kisichokuwa halisia na kisichoendana na wakati lazima ukosolewe.

Mimi sijakataa kukosolewa kabisa Sasa badala ujibu hoja unaleta mipasho na blah blah za hisia hapo uelewekeje?
 
Back
Top Bottom