Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

Beberu!😁😁😁
image1234612.png
 
Slavery mentality!! Mtasubiri sana kwa akili hizi.
Umeona wapi nchi inayoendeshwa Bila kufuata Sheria inaendelea?I think you are the one with slavery mind banana republic republic will never achieve sustainable development
 
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi).

Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi yatayotolewa, tusitegemee wataongea chochote bali tutaona vitendo tu.

Kwa mwenye akili, atajua nini kitafuata.

Napalta hisia ya kuongezeka na kuinuka kwa tozo mpya(sababu utaijua wakati ukifika in case unashindwa kuelewa nini kitatokea).

Maisha yakibadilika, wananchi watajua ni nani kabladilisha maisha yao- mpaka hapo, mwenye faida au hasara utakuwa umeshamjua.

Tusubiri .

View attachment 1923825
Wewe ndiye msemaji wao
 
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi).

Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi yatayotolewa, tusitegemee wataongea chochote bali tutaona vitendo tu.

Kwa mwenye akili, atajua nini kitafuata.

Napalta hisia ya kuongezeka na kuibuka kwa tozo mpya(sababu utaijua wakati ukifika in case unashindwa kuelewa nini kitatokea).

Maisha yakibadilika, wananchi watajua ni nani kabadilisha maisha yao- mpaka hapo, mwenye faida au hasara utakuwa umeshamjua.

Tusubiri .

View attachment 1923825
Pengine wanachotaka kuhakikisha ni je Tanzania kuna ugaidi au hakuna ili wajue wachukue tahadhari gani.
 
Back
Top Bottom