Wahindi wanaonewa sana kuitwa Wahindi

Wahindi wanaonewa sana kuitwa Wahindi

Siku zote usimuite mtu kwa rangi au kabila. Nimejifunza mengi sana. Nimejifunza wapi??

Singapore: Ni nchi iliyotokana na mchanganyiko wa watu mbalimbali kama wahindi, wajapan, wazungu. Shule zao hazina kubagua. Hazina shule za wenye uwezo au wa rangi Fulani. Mwisho, wanaaminiana na wanasonga mbele sana ukilinganisha na mataifa mengine ya Asia. Hii ipo hata Hong Kong.

Marekani: Hii ni nchi yenye kuzalisha watu wenye ubaguzi wa hali ya juu. Tunaweza angalia sasa ukafikiri watu weusi ndo wanabaguliwa. Hapana. Hata weupe wanabaguliwa sana. Wanachoangalia ni kipato, rangi na asili yako. Huwezi kupeleka motto shule za wenye nazo. Hii imetokea hata kugawa watu "African-American, White, Spainic, nk. Sahizi matokea tunayaona ndo haya ya kuchoma nymba na makanisa ya weusi.

Katika ubaguzi kama huu, wametumia hata kugawa dunia kama sS-Africa, North Africa, Middle East, nk. Hawa ndo wanongoza.

Tujifunze haya: tukiwatambua watu kwa dini na rangi mwisho tutatengeneza kundi la kuchukiana baadaye. Hasa kuonyesha kwamba kuna makundi yametufanya tuwe masikini.

Nyerere ameliongelea hili. Pangekuwa hakuna kusajili watu kwa makundi huko USA, naamini kungekuwa na mtangamano mzuri kabisa wa makundi yote. Mpaka Obama akasema 'we are not free of racism DNA'.

Naona serikali yoyote amabyo inajua inafanya nini ingepunguza haya mambo hasa katika ajira za serikali. Wahindi ni wachache sana.

Kwa hiyo unataka wahindi wapewe priorities ktk ajira...siku moja nenda India uone jamaa walivyo wabaguzi.
 
Sisi watu weusi lazima tutakuwa na kasoro sio bure, yaani hawa watu weupe wanavyotubagua bado tu anatokea mtu mweusi kuwatetea?
 
Sisi watu weusi lazima tutakuwa na kasoro sio bure, yaani hawa watu weupe wanavyotubagua bado tu anatokea mtu mweusi kuwatetea?
Hapo nakataa nenda kampala tu, utaona muhindi anavyonyanyaswa Na waganda hawana time nao
 
Mbna wauza miili mmekuwa mkiwaita wahaya? huo nao sio ubaguzi.??Mnadhani sisi wahaya wenye mama zetu na dada zetu wahaya uwa tunajiskiaje.?ubaguz sio kitu kizuri.!
 
Si kwamba ni wabaguzi. Ni hali ya kawaida kwa mgeni kuona hayupo na wenyeji. Hao si wa kuja bali wapo tangu Enzi hizo. Kwa maana hiyo, serikali haijafanya integration ya kutosha katika jamii za kitanzania, hasa wahindi na waarabu.
Kwa hiyo unataka wahindi wapewe priorities ktk ajira...siku moja nenda India uone jamaa walivyo wabaguzi.
 
Hao wangekuwa watanzania wasingekuwa Na hospital zao, Shule zao, benki zao
..Hawa jamaa ni wabaguzi sana ukiona kafuata huduma kwako ujue hiyo huduma haipo kwa muhindi mwenzake, na kama serikali ingeruhusu umeme binafsi wangekuwa Na Tanesco yao hata Maji ingekuwa hivyo,

Hayo unayoyasema ndiyo ninayoyaona mimi jamani kuna vituko sana!
 
Back
Top Bottom