Wahindi wanaonewa sana kuitwa Wahindi

Wahindi wanaonewa sana kuitwa Wahindi

mbona wameng'ang'nia tu mijini na magrili ndani ka ngedere.Hawachanganyiki na watu.
 
toka nizaliwe sijamuona muhindi wa Tandale,mbezi kimara,tegeta salasala n.k utajazs.
 
Sidhani kama una akili kabisa.Wanaitwa wahindi kwa sababu asili yao ni India.

Wachaga asili yao walitokea Ethiopia kwa hiyo tuwaite waethiopia? Mtu anajiita mhindi wakati kazaliwa kariakoo kwa waporomosha matusi ya nguoni au upanga pana mhindi hapo?
 
Siku zote usimuite mtu kwa rangi au kabila. Nimejifunza mengi sana. Nimejifunza wapi??

Singapore: Ni nchi iliyotokana na mchanganyiko wa watu mbalimbali kama wahindi, wajapan, wazungu. Shule zao hazina kubagua. Hazina shule za wenye uwezo au wa rangi Fulani. Mwisho, wanaaminiana na wanasonga mbele sana ukilinganisha na mataifa mengine ya Asia. Hii ipo hata Hong Kong.

Marekani: Hii ni nchi yenye kuzalisha watu wenye ubaguzi wa hali ya juu. Tunaweza angalia sasa ukafikiri watu weusi ndo wanabaguliwa. Hapana. Hata weupe wanabaguliwa sana. Wanachoangalia ni kipato, rangi na asili yako. Huwezi kupeleka motto shule za wenye nazo. Hii imetokea hata kugawa watu "African-American, White, Spainic, nk. Sahizi matokea tunayaona ndo haya ya kuchoma nymba na makanisa ya weusi.

Katika ubaguzi kama huu, wametumia hata kugawa dunia kama sS-Africa, North Africa, Middle East, nk. Hawa ndo wanongoza.

Tujifunze haya: tukiwatambua watu kwa dini na rangi mwisho tutatengeneza kundi la kuchukiana baadaye. Hasa kuonyesha kwamba kuna makundi yametufanya tuwe masikini.

Nyerere ameliongelea hili. Pangekuwa hakuna kusajili watu kwa makundi huko USA, naamini kungekuwa na mtangamano mzuri kabisa wa makundi yote. Mpaka Obama akasema 'we are not free of racism DNA'.

Naona serikali yoyote amabyo inajua inafanya nini ingepunguza haya mambo hasa katika ajira za serikali. Wahindi ni wachache sana.

hapo kuhusu singapore umenigusa mkuu,ni kweli hawabaguani but cjui kwanini ilitokea kuwa na little india na little china.but kwa xperience yangu,kuna ka hali ka kjisikia flani kwa wale wazawa halisi wa kisingapore,ila wale wakuja yaani wachina,wahindi,wajapani etc wako free na social sana.hawana kujisikia hata kidogo but all in all wanajali sana utaifa wao na siyo makundi au races
 
Wahindi wangekua watanzania wasinge kua na passport mbili mbili either ya Tanzania na Canada au Tanzania na India...
 
Hao wangekuwa watanzania wasingekuwa Na hospital zao, Shule zao, benki zao
..Hawa jamaa ni wabaguzi sana ukiona kafuata huduma kwako ujue hiyo huduma haipo kwa muhindi mwenzake, na kama serikali ingeruhusu umeme binafsi wangekuwa Na Tanesco yao hata Maji ingekuwa hivyo,
 
Na kwa bahati mbaya sana wao ndo wameshikilia uchumi wa TAnzania wanapoona uchaguzi unakaribia wanachukua Dola na shilingi yetu inanyong' onyea. Pia wanajijua sio Watanzania ndo mana hata hawatangazi nia.
 
Wachaga asili yao walitokea Ethiopia kwa hiyo tuwaite waethiopia? Mtu anajiita mhindi wakati kazaliwa kariakoo kwa waporomosha matusi ya nguoni au upanga pana mhindi hapo?

Mhindi ni mhindi na mmakonde ni mmakonde
Asili yako ni asili yako weweeeeee
 
East African Eagle

Kabila gani hao unaosema wasiitwe wahindi? dini gani hao? na maziko yao yanakuaje? piq wanatokea mkoa gani hapa tz?
Foreigner Ni Foreigner Tu..
 
Last edited by a moderator:
Na wewe ukiwa India tutakuita muhindi.sawa boss

Yani kweli anataka kutugeuza wote wakina kanjibhahi nawao kama wakina, nyambonde, mwakibinga, matonya, Mushi, NdiMbo, Sheshue, Au Mapunda! Wote Unataka Tuwe sawa na kina AMITHA BACHAN, GOVINDA NA KINA AKSHAY wa NHC maana nyumba za NHC kama walihkuja nazo kutoka kwao kwa AMRISH PURI... pumbaff!!!!
 
we umejuaje wana chukia au umepata kashombe shombe chaki hindi kana kudanganya kua wanachukia kuitwa ivo.
wahindi wahindi tu haina mjadala iyo ataitwa ivo ivo tu kwanza wanabagua kweli wale hawataki muingiliano ata kidogo. waitwe tu wahindi. ivo ivo wakichukia wahame nchi si wana makwao.
 
Back
Top Bottom