mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,564
Mkuu huyu sio kwamba kala maharage ya wapi,kala pilipili iliyochanganywa na kuberi sasa akili zake zimehamia ma.kalio.n.iamekula maharage ya wapi huyu?
Mkuu huyu sio kwamba kala maharage ya wapi,kala pilipili iliyochanganywa na kuberi sasa akili zake zimehamia ma.kalio.n.iamekula maharage ya wapi huyu?
kwani wote ni waTz?..kwanza ukiwa kwao wanakuita negro incase hukujua, this najua for a fact cause nilikuwa kule for a while, yani unaweza ukapiga mtu
hata we ukiwa kwao wanakuita mwafrika
Huyu mleta uzi badala ajifikirie yeye anawafikiria wengine...hahahaha.At least wakuite hivyo African ..... But tunaitwa negros au black fellow....
Issue syo mtaa kupewa jina au kukagua. ..issue ni kwamba sisi huwa wanatuitaje? ?wanabagua hadi wanakuwa na mitaa, eti mtaa wa india.