raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,999
- 37,441
ingawa hii jamii ina kasoro zake ila masuala ya kubaguana sio mazuri
kwenye nchi hii jamii inayojua vizuri historia yake nadhani ni wahindi tena wana mpaka picha za miaka ya 1800 mababu zao wakiwa wanafanya biz hapo dar na kwingineko
so mtoa mada just take a chill pill ukiambiwa ulete hata picha za historia za ukoo wako hapa tz miaka 50 nyuma unaweza kuwa huna wenzako wanaweza kuleta za mpaka miaka 100 nyuma