Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,941
Reaction score
101,476
Waheshimiwa, itendeeni haki Science. Kweli mnamshauri JPM amwadhibu mtu kwa kusema ukweli tena wa kisayansi. IT IS A PITY KUWA HATA MEDICAL DOCTOR AMEINGIA KWENYE UPOTOFU HU, I WILL NOT CARE WITH MHESHIMIWA UMMY, SIO SCIENTIST

Hakuna jipya: Tazama hii link: Health Information for Travelers to Tanzania, including Zanzibar - Traveler view | Travelers' Health | CDC
Cz1Ms2JWIAAVlS7.jpg
 
Upuuzi mtupu.....

Watendaji ambao ni wataaramu anawaweza lakini wanasiasa wenzie anaufyate..........

Mwigulu wizara yake imeua watu na kuwazika bado yuko offisini........

Wataaramu wa nchi hii msipoamka kuondoa watawala Mabwana tunasafari ndefu sana .......

Utafiti upo wazi kabisa au kwa vike kasema kanda ya ziwa ?...
 
Kwa mwendoo huuu viwanda vya kufyatua watoto vifungwe
 
Hii miaka mitano itaisha kwa kusikia na kuona mengi
 
Back
Top Bottom