Hii ni safi sanaKatalina huyu hapaView attachment 628710
Sijui ni kwanini ila tangu enzi hizo mpaka leo hii muda huu nilikuwa najua katalina ni binti mrembo anayekuja na mvua... Halafu akija wote mmeloa anakuchukua na mnaenda kujificha na kucheza kibabababa na kimamamama![]()
![]()
![]()


hapo mwisho tuu nimechekaaEndelea kutafuta mshana unadhani utakosa?Natafuta mtu tukumbushiane ILA awe jinsia pinzani![]()
Hapo ukitoka unapigwa khanga unakaa juani ukauke halafu unapakwa mafuta.. Zaman raha sana

Daah beseni la kitambo balaa.
Mkuu unakaa vingungut , mbona barabara yetu ile ya kupitia bugurun mnyaman imeoza aisee hemu jaribu kuipigia debe tena hali ni mbayaaKwetu Vingunuti hiyo 1990's
Kwa nini mkuu?Jua la siku hizi majanga