Una mke?Hivi mliwezaje kukaa na mwanamke mmoja tu miaka 35+?
Katika jambo wahenga mlizingua ni hili
Sijawaelewa
Sijaoa ila nmekaa na mwanamke mwaka mmoja ndani. Shida tUna mke?
Kwanini umemuuliza hivi mkuu?Una mke?
Naunga mkono hoja.
Watueleze vizuri hapa tuelewe
Endelea kujiendekeza na hio tabia ya kubadili wanawake kila kukicha
Point hyo nimeichukuaNiko na wife mwaka wa 10 sasa. Upendo na kuheshimiana hasa wote mkiwa na hofu ya Mungu
Raha ya mchezo uingie ucheze usisubirie kusimuliwa....Kwanini umemuuliza hivi mkuu?
Kuna vipenzi vishirikishi
Sawa ila huko ni kigumu sana mkuu.Raha ya mchezo uingie ucheze usisubirie kusimuliwa....
Kila mtu ana experience yake.
Mwaka inatosha, piga chini.....Sijaoa ila nmekaa na mwanamke mwaka mmoja ndani. Shida t
Rudi usiku tu wana kisiran hao
Ndio hivyoMichepuko?? Au siyo mkuu
Wadogo ndio maana mnajinyonga sana aisee sijui shida nini leo nimeona taarifa huko Njombe mwingine kajinyonga tena ana 38 yrs alinyimwa mzigo.