Wahenga wa juzi tuu

Wahenga wa juzi tuu

Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Hapo uombe Mungu usiku usimwage kojo kitandani... Huruma yote inaisha.
 
Katalina ni catalyst inayoleta mzuka wa kuchezea mvua!!

Katalina ni aina fulani ya Huricane ambayo inaitwa Katrina, ni so destructive hurricane, so tulikuwa tunaomba mvua ije lakini hiyo Katrina isije kabisa,

Actually tulikuwa hatujui tunachokisema na hakuna anayejua huo msemo uliyokea wapi?

Hurricane Katrina - Wikipedia

mshana jr
 
Catalina ilo kule kwetu lilimaanisha upepo ivyo wingu likiwa zito tu munaanza kuimba"mvua njoo catalina usije" yaan apo upepo ukija mvua itayeyuka apa kila mtoto lazima aimbe kwa nguvu ili Catalina asije!!!!!Duuuuuh zaman maisha yalikuwa matam sana na pesa wala ilikuwa haizingatiwi lakin kizaz cha sasa shida tupu ata mvua ikinyesha uwaoni kushangilia na kucheza mvuani.
 
Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Kama uko we na mdogo wako unachapwa wewe mdogo anapetiwa petiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom