[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loh kweli kabisaNimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Na uaambiwa ukiugua atakae hangaika ni mimi baba yako atakuwa kwenye starehe zake huko😀Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Aisee wanikumbusha iyo kae yangu nenagura mbishi niinge mdhighi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr wemanje mbishi?
Hiyo ilitupata wahenga tuu watoto wa sasa hawajui hiyo katarina, wanaweza kukuambia ni kimbunga [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimecheka eti 'katafute fimbo mwenyewe'
Umelowa unatetemeka kwa baridi halafu unaambiwa ukatafute fimbo unaenda kutafuta lakini unaishia kwenye banda la kuku unauchapa usingizi wakigutuka ndio wanaanza kukutafuta wanajawa na huruma mama anakuagiza ukaoge maji ya moto ukimaliza chakula wamekuandalia na hadithi inaishia hapo ucku umefika kila mtu kulala baada ya kuomba ulinzi wa malaika wa Mungu.
Katalina = Katrina.Nijuavyo alikuwa mwanamke mrembo
Nena kwa lugha!Aisee wanikumbusha iyo kae yangu nenagura mbishi niinge mdhighi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr wemanje mbishi?
Sijui ni kwanini ila tangu enzi hizo mpaka leo hii muda huu nilikuwa najua katalina ni binti mrembo anayekuja na mvua... Halafu akija wote mmeloa anakuchukua na mnaenda kujificha na kucheza kibabababa na kimamamama [emoji13] [emoji13] [emoji13]Catalina ni hurricane ilitokea zamani lakini tuliita bila kufahamu
MkuuSijui ni kwanini ila tangu enzi hizo mpaka leo hii muda huu nilikuwa najua katalina ni binti mrembo anayekuja na mvua... Halafu akija wote mmeloa anakuchukua na mnaenda kujificha na kucheza kibabababa na kimamamama [emoji13] [emoji13] [emoji13]