Heshima nitakupa ila sio ya uhenga, hapo tuachie sie wazee tukumbushane Δ₯aya mambo!!πSijui kama niliukuta kwenye mtaala rasmi ila nakumbuka kuliimba hili shairi primary.
Nipe heshima yangu π
Niliwahi kuokota kitita cha shilingi elfu moja na mia tano.. aisee, pale nyumbani tulitrend hadi watu wakaanza kudhani sisi ni watakatishaji wa fedha za ummaEnzi hizo ukiwa na shilingi 200 ya Mwinyi wanakujua mtaa mzima.
Jamaa liongo hili1980
Sasa hivi shilingi 1,500 unapata nini?Niliwahi kuokota kitita cha shilingi elfu moja na mia tano.. aisee, pale nyumbani tulitrend hadi watu wakaanza kudhani sisi ni wafujaji wa mali za umma
Hata GB 1 haitoshiSasa hivi shilingi 1,500 unapata nini?
Bado upo kwenye generation Z nahisi πNilishazaliwa mbona
Basi mi mhenga pia nilikua chini ya miaka 10
Mwaka 1993 tukiwa na rafiki yangu siku ya Christmas tukamuibia binti wa watu shilingi 100 ili tukanywe soda na biscuits, ile kesi ilifika home nikapewa dawa yangu ya uhakika.Niliwahi kuokota kitita cha shilingi elfu moja na mia tano.. aisee, pale nyumbani tulitrend hadi watu wakaanza kudhani sisi ni wafujaji wa mali za umma
Nyie mlikuwa waporaji kabisa. Ukwasi wote ule mnamuibiaje mtuMwaka 1993 tukiwa na rafiki yangu siku ya Christmas tukamuibia binti wa watu shilingi 100 ili tukanywe soda na biscuits, ile kesi ilifika home nikapewa dawa yangu ya uhakika.
Sasa hapo ili kulinganisha vizuri unatakiwa kulinganisha na kitu kilichokuwapo wakati ule, si GB.Hata GB 1 haitoshi
Thubutu πBado upo kwenye generation Z nahisi π
Nilimwibia marehemu bibi sh 2000 nilikula wiki nzima na haikuisha nikanunua na saa πππNiliwahi kuokota kitita cha shilingi elfu moja na mia tano.. aisee, pale nyumbani tulitrend hadi watu wakaanza kudhani sisi ni watakatishaji wa fedha za umma
Sasa kama 2004 upo under 10 si ndio mle mle ulikuwa na miaka 6 au 7 ? πThubutu π
Mkuu ntadondosha chozi.. yalifanyika mambo makubwa ambayo kwa sasa huwezi kuitaja hata elfu kumi kwenye mambo yaleSasa hapo ili kulinganisha vizuri unatakiwa kulinganisha na kitu kilichokuwapo wakati ule, si GB.
GB haikuwa inauzwa wakati ule ππ
π€£π€£Sasa kama 2004 upo under 10 si ndio mle mle ulikuwa na miaka 6 au 7 ? π
Mwaka kati ya 1982 au 1983 hilo shairi lilitoka kwenye mtihani wa darasa la saba sambamba na usemi wa "majuto ni mjukuu"Ni kweli uliukuta huo wimbo ila huna huo uhenga. Tuliimba kwa wivu mkubwa sana.
Hahaa.Mkuu ntadondosha chozi.. yalifanyika mambo makubwa ambayo kwa sasa huwezi kuitaja hata elfu kumi kwenye mambo yale
Na wewe unajipachika kwa wahenga?Shairi hili lilichangia kutufundisha uzalendo, tulikuwa tunaimba proudly.
Kijijini soda tulikuwa tunazipeleka long (kisima) zipate baridi π π π makreti yalikuwa ya mbao na chupa zilikuwa na shape mbayaaa , sh 30 tu lakini kuipata sasa hiyo hela mpaka atoke mgeni mjini.Nakumbuka soda yangu ya kwanza kunywa naenda kununua dukani mwenyewe ilikuwa fahari kama sijakosea
Mzee alikuwa ana msuli wa kiuchumi inaonekanaHahaa.
Unanikumbusha kuna mshua alinunua viwanja kama 15 vya laki laki mwaka 1991.
Tukawa tunamshangaa, wewe mshua mbona unanunua viwanja huku mbali sana na mjini?
Vile viwanja sasa hivi bila milioni 100 kila kimoja hugusi.