Enzi zile ukiwa na mia mbili kweli we ni kibopa 😃😃😀Enzi hizo ukiwa na shilingi 200 ya Mwinyi wanakujua mtaa mzima.
Jakaya alikuja haribu mambo Chipsi yai ilikuwa sh 600 tu. Kabla ya hapo soda ilikuwa sh 250 , mkate Super loaf sh 300Au ningekua mhenga tu 🤔
Ni kama mlifaidi sana?
Jakaya alikuja haribu mambo Chipsi yai ilikuwa sh 600 tu. Kabla ya hapo soda ilikuwa sh 250 , mkate Super loaf sh 300
2004Mwaka gani huo bro
mshahara wangu wa kwanza ulikua 1500 serikaliJakaya alikuja haribu mambo Chipsi yai ilikuwa sh 600 tu. Kabla ya hapo soda ilikuwa sh 250 , mkate Super loaf sh 300
Mabsi ya UDAEnzi hizo ukiwa na shilingi 200 ya Mwinyi wanakujua mtaa mzima.
Nilishazaliwa mbona2004
1,500 kweli? Mwaka gani huo? Wewe si mshua kabisa?mshahara wangu wa kwanza ulikua 1500 serikali
Aisee! Kiswahili Drs la sita mwaka 1995UNAKUMBUKA HILI SHAIRI...??
Weka ubeti unaoukumbuka...
Ninaye ndege mzuri, mrembo wa kupendeza,
Rangi zake mashuhuri, ni nne nawaeleza,
Ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
Anayo rangi nyeusi, sote tunaitukuza, Nami nilipodadisi, Kumbe nimemwambukiza,
Nayo ni rangi halisi, ambayo imenikuza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
Rangi ya pili kijani, kwenye mbawa katimiza,
Nzuri isiyo kifani, kwenye mwanga hung’ariza,
Jamani niambieni, ndege amenipendeza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
Ya tatu ni ya ajabu, sambamba imejilaza,
Ni rangi ya kidhahabu, kwa haiba hushangaza,
Hima nipeni jawabu, jina linanitatiza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
Rangi ya nne bluu, mkiani kaeneza,
Rangi ya bahari kuu, na maziwa yalojaza,
Ndege arukapo juu, rangi hii hutokeza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
19801,500 kweli? Mwaka gani huo? Wewe si mshua kabisa?
Ni kweli uliukuta huo wimbo ila huna huo uhenga. Tuliimba kwa wivu mkubwa sana.Shairi hili lilichangia kutufundisha uzalendo, tulikuwa tunaimba proudly.
Sijui kama niliukuta kwenye mtaala rasmi ila nakumbuka kuliimba hili shairi primary.Ni kweli uliukuta huo wimbo ila huna huo uhenga. Tuliimba kwa wivu mkubwa sana.
1980!! Ajira ya kwanza, wewe ni mhenga kweli kweli...ila bwana red umepika chai ya tangawizi😅1980
1980 naweza kukubali.1980