- Thread starter
- #81
Pata mtu sahihi yaan yule mnaoendane,mnachukuliana ,mnaheshimiana na kila mtu anaheshimu mipaka ya mwenzie aisee mtakaa sana ...mm na miaka 23 sasa ya ndoa ila mke wangu ndo furaha yangu ndo roho yangu.Kijana ukija pata mtu sahihi aisee ndoa ni tamu sana
Kuheshimiana na kujua mipaka Nimechukua point mkuu. Shukran