- Thread starter
- #101
Unatongoza leo na anavua nguo leo mkuunahc kipndikile kutongoza ilikuwa kipengele
yan inachukua long process
co kama xahv ukiguxa imo
Unatongoza leo na anavua nguo leo mkuunahc kipndikile kutongoza ilikuwa kipengele
yan inachukua long process
co kama xahv ukiguxa imo
Nataka kujua uliwezaje siym tamaaSio kukutisha hiyo tamaa ni mbaya
Hakuna nilipoasema mnatakiwa kuzaliana.Sawa mkuu uko sahih tunatakiwa kuzaliana
Hatuwezi wote kuwa watauwa. Ni lazima tuzalianeHakuna nilipoasema mnatakiwa kuzaliana.
Hakuna niliposema mnaweza au mnatakiwa kuwa watawa.Hatuwezi wote kuwa watauwa. Ni lazima tuzaliane
kabxaUnatongoza leo na anavua nguo leo mkuu
Basi wew ndo huelewi mada mkuu. Changia mtwambie mliwezaje na wahenga wenzioHakuna niliposema mnaweza au mnatakiwa kuwa watawa.
Na si lazima mzaliane, mnajipa umuhinu wenyewe tu.
Akiolewa kama hajaolewa. Anatangaza biashara wakati ishanunuliwakabxa
vitoto vyenyewe hv vya 2000 vinatembea na chupi public
Kwa akili na mtazamo wako huwezi bila ya uongozi wa MUNGUNtajuaje kama ni mwema mkuu
Mpaka hapo ushafanya assumption mimi muhenga, ushafanya assumption wahenga waliweza.Basi wew ndo huelewi mada mkuu. Changia mtwambie mliwezaje na wahenga wenzio
na anaye nunua anawatunzia wahuni2Akiolewa kama hajaolewa. Anatangaza biashara wakati ishanunuliwa
Shukran mkuuKwa akili na mtazamo wako huwezi bila ya uongozi wa MUNGU
Bado wapo watatwambia tuMpaka hapo ushafanya assumption mimi muhenga, ushafanya assumption wahenga waliweza.
Wakati wahenga ndio hao kina baba yake J.K Nyerere walikuwa na wake ishirini na ngapi hata kuhesabu watu wanakisia tu.
Assumptions kibao.
Hapana bado nafugwa kwa shemejiUna mke?
Nimekusoma mkuu point yako kuwa na msimamo usisikilize watu wa nje syo wote ni wema.Ndoa inataka kutosikiliza maneno ya nje,unatakiwa uamue wewe kama wewe usiwasikilize watu hata kama ni ndugu zako,usikubali kufslanya maamuzi magumu yoyote bila kujiridhisha,kama haujapata uhakika kausha usisikilize waja,sio wote wana nia njema.
Jifunze pia kuignore na kutowaza negativity,hii ndio Siri yangu ya kukaa ktk ndoa kwa miaka 18 hadi sasa,wengine nao watasema
Usisahau kuomba Mungu pia akusimamie wakati woteNimekusoma mkuu point yako kuwa na msimamo usisikilize watu wa nje syo wote ni wema.
Miaka 18 unastahili sanamu hapo mtaan kwako mbele ya ofisi ya chama na serikal
Na halazimishwi anatoa kwa hiyal mkuuna anaye nunua anawatunzia wahuni2
Hilo wote tuna kili mkuuUsisahau kuomba Mungu pia akusimamie wakati wote