Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Kama mwaka mmoja unakuchosha kuishi na mwanamke mmoja, utaweza kufanya kazi serikalini miaka 30?, ofisi ileile, mazingira yale yale na majungu yaleyale!!
Miaka yote tangu kijana mpaka unazeeka unafanya kitu kile kile
Nalipwa mkuu natibiwa bure napanda cheo na mambo kibao
 
Wanawake wetu zamani ni watamu Sana, hawakutumika kwingine zaidi ya matumizi ya nyumbani. Wangu Niko nae 34 yrs now. Na ni mtamu zaidi ya vitoto vya afmbili.
Wa siku hizi ngumu wametuma kila kitu hata utamu hamna.

Bikra inatoka darasa la 5 alaf aje aolewe akiwa chuo huo utamu unatoka wapi(SAMAHANI AKINA DADA MSINITUKANE JAMANI NAOMBA SANA)
 
Back
Top Bottom