Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Hakuna Mhenga alikuwa na Mke mmoja..Wahenga walikuwa na Nyumba zaidi ya tano na wote walishiba magimbi na kula nakusaza..walikuwa wanafanya kazi haswa
 
Sikiliza kijana! Kuna mambo mawili tu yanaweza kuwafanya mkadumu kwenye ndoa ambayo ni upendo na utii na haya hayafanywi na wote wawili la hasha kila mmoja ana la kwake mwanaume UPENDO mwanamke UTII. mkiyaweeza haya mawili namaanisha kwa uhalisia wake sio maigizo basi changamoto zote zitakazokuja kwenu hayo mambo mawili hapo yatasaidia kusawazisha hizo changamoto. Tatizo vijana wa siku hizi hivyo vitu mnachukulia for granted yaani kwakuwa mkeo ni mtiifu kwako basi unafanya tu ujinga wako hata kumuomba msamaha huwezi kisa tu anakutii unadhani hana la kukufanya, hivyo hivyo kwa mwanamke kwakuwa tu mume wake anampenda basi analeta jeuri na kiburi kwasababu anajua anapendwa sana basi hatofanywa chochote POOR YOU GEN Z!
Una hoja nzuri sanaa.
 
Back
Top Bottom