Wewe bado mvulana wanaume wanawake zao na familia.Waseme ukweli sisi ni wanaume wenzao
Jando ulienda?Sijabadilisha ila mtwambie mlifikaje miaka hyo na mwanamk mmoja?
Mbona umelenga mwanamke tu? Ungeuliza waliwezaje kukaa na mwenza mmoja tu?
Hakuna mtu alikuwa na mwanamke mmja zamani,huo upuuzi umekuja miaka ya karibuniHivi mliwezaje kukaa na mwanamke mmoja tu miaka 35+?
Katika jambo wahenga mlizingua ni hili
Sijawaelewa
Sawa mvulana nataka kujuaWewe bado mvulana wanaume wanawake zao na familia.
We kama hujui kaa kimya, tunataka wanaojua kwanini waliweza mkuuWewe bado mvulana wanaume wanawake zao na familia.
Mkuu, sikiliza! Usuone tuko na wake zetu hadi tunaadhimisha platinum jubilee ya ndoa zetu utafikiri mambo yalikuwa simple.
Tambua kabisa tumelombewa sana wake ila tumekaza tu, nasi tumelomba sana wanawake wa nje, nao wamekaza tu.
Ninyi vijana mkimgombana tu siku ya pili mmeachana, hivi ule msemo wa, "hata vyombo kabatini vinagongana", hamkuusikia?
Ok, ukiona vyaelea tumbua na uelewe kuwa vimeundwa
Jando ulienda?
Heshima yako mkuuUpendo hauhesab mabaya, swali ni umempenda? Au umezuzuka na mshape au sijui makebo?
Nina wife mwaka wa 10 huu
Hakuna mwanadamu mekamilika, kila mmoja ana madhaifu ila upendo huficha udhaifu
Mkuu nakuheshim sana. Pokea salamHakuna mtu alikuwa na mwanamke mmja zamani,huo upuuzi umekuja miaka ya karibuni
Sijui kwa nini ila nimejikuta naiwaza hivyo unavyosema mmekaza na wao wamekaza.Mkuu, sikiliza! Usuone tuko na wake zetu hadi tunaadhimisha platinum jubilee ya ndoa zetu utafikiri mambo yalikuwa simple.
Tambua kabisa tumelombewa sana wake ila tumekaza tu, nasi tumelomba sana wanawake wa nje, nao wamekaza tu.
Ninyi vijana mkimgombana tu siku ya pili mmeachana, hivi ule msemo wa, "hata vyombo kabatini vinagongana", hamkuusikia?
Ok, ukiona vyaelea tumbua na uelewe kuwa vimeundwa 😎
Saana sio kidogo..Mwanamke akitulia mambo mengi sana yananyooka
Sikiliza kijana! Kuna mambo mawili tu yanaweza kuwafanya mkadumu kwenye ndoa ambayo ni upendo na utii na haya hayafanywi na wote wawili la hasha kila mmoja ana la kwake mwanaume UPENDO mwanamke UTII. mkiyaweeza haya mawili namaanisha kwa uhalisia wake sio maigizo basi changamoto zote zitakazokuja kwenu hayo mambo mawili hapo yatasaidia kusawazisha hizo changamoto. Tatizo vijana wa siku hizi hivyo vitu mnachukulia for granted yaani kwakuwa mkeo ni mtiifu kwako basi unafanya tu ujinga wako hata kumuomba msamaha huwezi kisa tu anakutii unadhani hana la kukufanya, hivyo hivyo kwa mwanamke kwakuwa tu mume wake anampenda basi analeta jeuri na kiburi kwasababu anajua anapendwa sana basi hatofanywa chochote POOR YOU GEN Z!Hivi mliwezaje kukaa na mwanamke mmoja tu miaka 35+?
Katika jambo wahenga mlizingua ni hili
Sijawaelewa
Hii sio sheria/kanuni kushindwa kwako sio kila mmoja atashindwa hata hao wahenga sii wote waliweza kuna ambao walidumu na wengine hawakudumu.Sijaoa ila nmekaa na mwanamke mwaka mmoja ndani. Shida t
Umenena mkuuSikiliza kijana! Kuna mambo mawili tu yanaweza kuwafanya mkadumu kwenye ndoa ambayo ni upendo na utii na haya hayafanywi na wote wawili la hasha kila mmoja ana la kwake mwanaume UPENDO mwanamke UTII. mkiyaweeza haya mawili namaanisha kwa uhalisia wake sio maigizo basi changamoto zote zitakazokuja kwenu hayo mambo mawili hapo yatasaidia kusawazisha hizo changamoto. Tatizo vijana wa siku hizi hivyo vitu mnachukulia for granted yaani kwakuwa mkeo ni mtiifu kwako basi unafanya tu ujinga wako hata kumuomba msamaha huwezi kisa tu anakutii unadhani hana la kukufanya, hivyo hivyo kwa mwanamke kwakuwa tu mume wake anampenda basi analeta jeuri na kiburi kwasababu anajua anapendwa sana basi hatofanywa chochote POOR YOU GEN Z!
Nataka waliowezaHii sio sheria/kanuni kushindwa kwako sio kila mmoja atashindwa hata hao wahenga sii wote waliweza kuna ambao walidumu na wengine hawakudumu.
Wapo na hadithi zenu haziwezi kufananaNataka walioweza