Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyalandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya Mwanza.
Kwa mtazamo wangu, Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyalandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu