Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

Si wana magazeti na radio ya chama
Wakamuweke hukohuko
Huwezi kuwa rais halafu una tabia za ki NAZI namna ile
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Muda wa kuyasoma magazeti uko wapi?
Si bora hiyo hela ya kununua gazeti nikanunue robo ya sukari.
Kama ni hotuba ya Mh. Rais mbona jana ilikuwa mubashara,tusome tena magazeti huko ni kupoteza muda.
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu

Mpe Pole
 
Kama una mahaba naye hivyo nunua matangazo ili apate hiyo nafasi unayotaka apate au ungemfuata mwanza umsikilizeili apate nafasi ya kutosha masikioni mwako.
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
Wao wameona ndio habari ya maana usiwapangie
 
Unajua, mi bado nawaza tu hivi nikutamkie kweli ndege ina uwezo wa kupeperusha nyumba kweli...?

Ni hatari sana.
Anapenda utani sana. :D:D:D
Sema mara nyingi utani wake hauchukuliwagi kama utani!

"anasema anawapenda..kwahiyo mimi hanipendi":D
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
Hata mimi sijafurahishwa na kitendo cha mkuu wetu kinyimwa haki yake ya msingi ya kutokea ukurasa wa mbele!
 
Mkuu unawapangia cha kuandika, mheshimiwa vita yake kuu ni ya ufisadi na nchi kupigwa ndo kila anachohubiri ambacho kimezoeleka hivyo kunapopatikana habari nyingine mpya mpya basi wanaona waiweke
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
Fursa, Nyalandu, akili zenu CCM mzijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom