Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyalandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya Mwanza.

Kwa mtazamo wangu, Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyalandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
Kwa gazeti la Uhuru siamini unachokisema!!
 
weka picha tuone alivyo fanyia ndivyo sivyo....Ili tumwambie Mwakiembe ayafungie
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
TATIZO VIJEMBE, LUGHA ZA KUUDHI NA UPENDELEO VINATAMALAKI KATIKA MIKUTANO YAKE, KWA UJUMLA SIYO MFANO WA KUIGWA.
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyarandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya mwanza.

Kwa mtazamo wangu Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyarandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu

Anzisha gazet lako uwe unampa promo deileeeeeee
 
Back
Top Bottom