Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

Hahaha akiwa dar tutabomoa hata nyumba ya wazir ikiwa barabarani au kwenye hifadhi akiwa mwanza kuwa na human face
 
Hiyo ni ishara kwamba hakubaliki miongoni mwa watanzania walio wengi.na kama unavyofaham magazeti yanalenga habari zinazouzika.Mh rais hauziki.
 
Hivi bongo nako kuna waandishi wa habari wenye weledi?? mie wengi wao walioshindwa course za maana ndio wanadondokea kwenye uandishi wa habari.
 
Kiukweli hana mvuto na kachokwa haswaa... imebaki tu kidogo kanda ya ziwa kwa ndugu zake.... juzi happy birthday yake kuna mtandao ulitupia kuwa leo ni birthday yake daah walio mu wish ht buku hawawajafika... sasa waandishi wameshasoma alama za nyakati kwamba ukimuweka front fodi imekula kwako.... leo kafungua kiwanda cha dawa kilichojengwa mwaka 2012 kikakamilika 2014 yy leo kakitafutia kiki kakifungua... halafu utasikia anasema amekuta li nchi la hovyoooo... mm nachoka kbsaa hadi daraja la kigamboni yy kalifungua wenzie walijenga.... mwendokasi kazindua wenzie walijenga.. utasikia nimelikuta linchi la hovyooo nachokaga kabisaaa
 
Magazeti karibu yote hata lile la chama uhuru, yamempa nafasi kubwa Mh. Nyalandu kuliko Rais wetu mpendwa na ziara yake ya Mwanza.

Kwa mtazamo wangu, Rais alipaswa kupewa nafasi kubwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia maendeleo ya nchi, hivyo ilikuwa fulsa nzuri kwa magazeti kutushawishi sisi watanzania tusome nn Rais wetu mpendwa kasema badala yake wanatushawishi kusoma habari ya Nyalandu kung'oka CCM ilhali haitatusaidia kitu
Uchochezi huu sasa....
 
Back
Top Bottom